Hana nguvu yoyote ile mbele ya timu za Kariakoo.
Mbona kipind kile cha kina boko alibeba hadi ubingwa?Hazjui vzur yanga na Simba
Kwa mpira wa tz hata angekuja Messi au Ronaldo kwa fitna za timu hiz mbili hawez toboa
Huo muda unatoka wapi, kuna long & short term goals.Angepambana kutengeneza wacheazaji kupitia academy
Huo muda unatoka wapi, kuna long & short term goals.
Yeye na dingi wake wana vinasaba na Simba.Hana nguvu yoyote ile mbele ya timu za Kariakoo.
Huyo ni Yusuf Bakhresa, mtoto wa Bakhresa fogo.Hivi huyu ndio bakhresa