Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Mmiliki wa timu ya Azam FC, Yusuf Bakhresa sasa ametangaza vita ya usajili kwa msimu ujao akiingia mwenyewe vitani kusaka wachezaji wa kimataifa na ligi za ndani msimu ujao 2022/23 na tayari wamemtambulisha Kipre Junior kiungo mshambuliaji kutoka Ivory Coast. Kupitia Instagram ameandika;
"Mashabiki zangu na mashabiki wa Azam FC, nimeamua sasa mtafurahi sana. Baada ya saa kinashuka chuma kingine, na kesho ndio balaa zaidi,"
#mwanaspoti
#mwanaspotiupdates
Tuonane Chamazi Msimu Ujao.
"Mashabiki zangu na mashabiki wa Azam FC, nimeamua sasa mtafurahi sana. Baada ya saa kinashuka chuma kingine, na kesho ndio balaa zaidi,"
#mwanaspoti
#mwanaspotiupdates
Tuonane Chamazi Msimu Ujao.