Yusuf Manji mikononi mwa TAKUKURU baada ya kurejea nchini

Makwega hujui VAT inavyooperate au kuna kitu umesahau. Manji alitoa huduma, yeye ni VAT registered. Anavyotoa invoice kwa Tanesco ana charge na VAT. Kwa maneno mengine Manji alikuwa ni mkusanyaji wa VAT (Maana alitoa taxable supply). Tanesco ni Mlaji au mtumiaji wa Huduma za Manji (yeye ni Final Consumer). Kwenye VAT system, Final Consumer ndiye anayebeba Mzigo wa VAT na mkusanyaji ni supplier wa Service.

Unachosema, kingekuwa kweli kama Kodi husika ilikuwa ni Withholding Tax (WHT) ambayo Mlipaji anatakiwa akate kabla hajamlipa supplier wa Service kama ilivyo katika "Section 84 of the Income Tax Act, 2004 (RE.2019).

Nitakupongeza Makwega kama utakuja hapa na kukiri kuwa umekosea kitu ulichokisema. Ahsante
 
Mkuu tujuze kitakachokua kinaenderea
 
Utopolo ni kuwaacha wezi ununuzi wa Ndege ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge ufisadi wa Ndungai india upotevu wa trilion 1.5 kisha kuhangaika na Manji kwa kosa lingine ambalo siyo Rushwa
MTU MZIMA KUMEZESHWA UPOPOMA NA MWANAUME MWENZIO NA KUAMINI BILA KUFANYA UTAFITI NI UMAMA...ukiendelea hivyo utakuja kukikalia hicho kigogo
 
Mkuu Soma post #205 nilishakiri kwamba nilitoa Boko.
 
Hakuna kesi hapo, bali kuna makubaliano...
 
MTU MZIMA KUMEZESHWA UPOPOMA NA MWANAUME MWENZIO NA KUAMINI BILA KUFANYA UTAFITI NI UMAMA...ukiendelea hivyo utakuja kukikalia hicho kigogo
Wewe tayari unapakatwa kwa kuamini uzushi juu ya Manji na umepakatwa zaidi pindi mwendazake akikutumia kutekeleza manyanyaso dhidi ya wakosoaji wa udikiteta wake
 
Vipi Manji alimalizana vipi na Takukuru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…