Yusufu Ally anae pigana na George Bonabucha ni bondia mzuri sana

Yusufu Ally anae pigana na George Bonabucha ni bondia mzuri sana

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Kwa jiinsi Bonabucha alivyo offensive kama Yusuf Ali angekuwa bondia wa hovyo hovyo tayari ingekuwa knock out.

Ame ni impress sana . Ni sugu sana and very professional.

Akipata watu wa ku invest kwenye career yake ni bonge la bondia
 
T

Tafuta pesa ww. Acha kusifia Wayne za watu
 
Hela ninazo mkuu ndio maana unaona I only think positive about every thing. Wewe ndo unatakiwa kutafuta hela
Hela unazo halafu unalalamikia 50,000 au ulidhani Ladies free? mtafute pesa acheni kulia Lia!
 
Hela unazo halafu unalalamikia 50,000 au ulidhani Ladies free?
Ndio maana mimi nikitaga kuvutia bangi huwaga naifuata mwenyewe Arusha.

Ndio nini hiki Umeandika ? Kijana acha kuvuta kushabu. Vuta bangi orijino
 
Back
Top Bottom