Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Anakugharimu ukiwa bado unatazama, anasafisha kazi chafu kwa ustadi, na yupo mbele ya muda wake.
Unapojiuliza, "Hivi Kagoma yupo kweli?" yeye tayari ameshaiba mpira na kuanzisha shambulizi!
Kagoma amedefine upya role ya kiungo mkabaji — anabadilika kutokana na mahitaji ya mchezo.
Leo ni soft kama kitambaa cha silky, kesho ni chuma cha meli mkileta masihara.
Wengine wanahesabu assists, yeye anahesabu tackles zilizosababisha counter-attack!
Kwenye game ya jana Kagoma ali-'intercept' mpaka shabiki wakasema huyu mwamba hatoki jikoni kwenye mechi.
Kwa Taifa la leo na kesho, tunapaswa kumlinda na kumlea mchezaji kama Kagoma.
Si wa mchezaji tu—ni asset, ni mwamba wa kiungo, yeye ndiye definition halisi ya kiungo mkabaji!
Credit: Simba Ni Jamii Yetu