MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Wkt simba wanacheza na muarabu taifa game ya mwisho juzi kati,Kulikua na dogo mwingine toka Guinea alivaa no6 nae alikua anakata umeme sana ndio mikamkumbuka Kagoma ingawa baadae aliingia ila yule dogo anacheza Kama Kagoma alivyo.View attachment 3187595
Anakugharimu ukiwa bado unatazama, anasafisha kazi chafu kwa ustadi, na yupo mbele ya muda wake.
Unapojiuliza, "Hivi Kagoma yupo kweli?" yeye tayari ameshaiba mpira na kuanzisha shambulizi!
Kagoma amedefine upya role ya kiungo mkabaji — anabadilika kutokana na mahitaji ya mchezo.
Leo ni soft kama kitambaa cha silky, kesho ni chuma cha meli mkileta masihara.
Wengine wanahesabu assists, yeye anahesabu tackles zilizosababisha counter-attack!
Kwenye game ya jana Kagoma ali-'intercept' mpaka shabiki wakasema huyu mwamba hatoki jikoni kwenye mechi.
Kwa Taifa la leo na kesho, tunapaswa kumlinda na kumlea mchezaji kama Kagoma.
Si wa mchezaji tu—ni asset, ni mwamba wa kiungo, yeye ndiye definition halisi ya kiungo mkabaji!
Credit: Simba Ni Jamii Yetu
Nataraji j2 tutawaona wote Kagoma na yule dogo ni wazuri sana kwenye nafasi zao