Yusufu Kagoma si tu mchezaji—ni hazina ya kipekee!

Wkt simba wanacheza na muarabu taifa game ya mwisho juzi kati,Kulikua na dogo mwingine toka Guinea alivaa no6 nae alikua anakata umeme sana ndio mikamkumbuka Kagoma ingawa baadae aliingia ila yule dogo anacheza Kama Kagoma alivyo.
Nataraji j2 tutawaona wote Kagoma na yule dogo ni wazuri sana kwenye nafasi zao
 
Yusuph Kagoma anajua boli nilishangaa hata Timu ya Taifa kuendelea kuwatumia wakina Mao huku hawa mafundi wakiwa nje Tanzania ina wachezaji wengi wazuri shida hawaitwi Timu ya Taifa mpaka wawe Yanga/Simba au Azam...
 
Kwa Simba ana wafaa Sana ila kwa timu za Daraja la juu kama Yanga Angekuwa anachoma Mahindi.
Maana pale Yanga yupo Khalidi Aucho.
Uki comment kwenye habari za michezo, jitahidi ku comment kimichezo badala ya ku comme kimchezomchezo
 
Yusuph Kagoma anajua boli nilishangaa hata Timu ya Taifa kuendelea kuwatumia wakina Mao huku hawa mafundi wakiwa nje Tanzania ina wachezaji wengi wazuri shida hawaitwi Timu ya Taifa mpaka wawe Yanga/Simba au Azam...
Waandishi wengi wanaangalia simba na yanga kwakua wanafuata promo pia,ila wangekua wanapromote wachezaji wa timu nyingine Kama wanavyowaimba wachezaji wa nje wengi wangejulikana,wanampamba mchezaji km anatakiwa na moja ya timu za kariakoo tu,mfano sasa Lawi wa Coastal ya Tanga yupo kwenye vinywa vya waandishi wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…