Yusuph alimwambia mtawala wa Misri wajenge maghala ya chakula, Bashe anamwambia Rais wauze chakula

Yusuph alimwambia mtawala wa Misri wajenge maghala ya chakula, Bashe anamwambia Rais wauze chakula

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Yusufu Mwana Wa Yakobo alipoitwa kutafsiri ndoto ya Mfalme wa Misiri, pamoja na kutafsiri ndoto lakini alimwambia Mfalme kuwa, kutakuwa na njaa na katika nchi basi tujenge maghala ili tutunze chakula.

Huyu wa kwetu hapa, Bashe anashauri chakula kiuzwe nje ya nchi.

Baadae atamwambia tena tukanunue wapi chakula.

Tuwe tunasoma ili kujifunza maisha ya wenzetu huko nyuma walivyo vuka kwenye changamoto.
 
Yusufu Mwana Wa Yakobo alipoitwa kutafsiri ndoto ya Mfalme wa Misiri, pamoja na kutafsiri ndoto lakini alimwambia Mfalme kuwa, kutakuwa na njaa na katika nchi basi tujenge magala ili tutunze chakula.

Huyu wa kwetu hapa, Bashe anashauri chakula kiuzwe nje ya nchi.

Baadae atamwambia tena tukanunue wapi chakula.

Tuwe tunasoma ili kujifunza maisha ya wenzetu huko nyuma walivyo vuka kwenye changamoto.
Mvua zimeanza kunyesha kaa usiende shamba usubirie Bashe na Serikali.

Hiki chakula Cha offer sio Cha kuwazoeza wavivu👇
20221111_125123.jpg
 
Yusufu Mwana Wa Yakobo alipoitwa kutafsiri ndoto ya Mfalme wa Misiri, pamoja na kutafsiri ndoto lakini alimwambia Mfalme kuwa, kutakuwa na njaa na katika nchi basi tujenge magala ili tutunze chakula...
Ndio shida ya ku import viongozi hawana uchungu na waTanzania
 
Mvua zimeanza kunyesha nendeni mkalime ili mpate chakula cha bure , uzuri 80% ya ardhi ya Tanzania inakubali kilimo, hakuna wa kusingizia ardhi mbovu , hakuna mtu wa kuwalimia alaf awauzie Kwa bei nafuu , kilimo ni biashara , watu wanalima wakitarajia wauze bei ya juu ili malengo Yao yatimie ...bashe ashikilie hapo hapo , wakulima najua wanajua ninachoongea ,....
 
Kuna umuhimu wa kuendelea kuimarisha sekta ya kilimo ili iwe mkombozi wa kila kitu kwa watanzania walio wengi.
 
Back
Top Bottom