Mvua zimeanza kunyesha kaa usiende shamba usubirie Bashe na Serikali.Yusufu Mwana Wa Yakobo alipoitwa kutafsiri ndoto ya Mfalme wa Misiri, pamoja na kutafsiri ndoto lakini alimwambia Mfalme kuwa, kutakuwa na njaa na katika nchi basi tujenge magala ili tutunze chakula.
Huyu wa kwetu hapa, Bashe anashauri chakula kiuzwe nje ya nchi.
Baadae atamwambia tena tukanunue wapi chakula.
Tuwe tunasoma ili kujifunza maisha ya wenzetu huko nyuma walivyo vuka kwenye changamoto.
Ndio shida ya ku import viongozi hawana uchungu na waTanzaniaYusufu Mwana Wa Yakobo alipoitwa kutafsiri ndoto ya Mfalme wa Misiri, pamoja na kutafsiri ndoto lakini alimwambia Mfalme kuwa, kutakuwa na njaa na katika nchi basi tujenge magala ili tutunze chakula...
SureNdio shida ya ku import viongozi hawana uchungu na waTanzania