Azam ni timu inayojitafuta.. bado sana kuweza kuchukua ubingwa wa nchi hii ukiacha michuano ya kimataifa huko ndio haijulikani kabisa.. Sasa kumshauri mchezaji kuondoka kwenye timu ambayo ina uhakika wa kuchukua ubingwa aende timu ambayo inagombania nafasi ya pili au ya tatu ni ushauri wa kijinga.Udogo upi?
Mpira pesaAzam ni timu inayojitafuta.. bado sana kuweza kuchukua ubingwa wa nchi hii ukiacha michuano ya kimataifa huko ndio haijulikani kabisa.. Sasa kumshauri mchezaji kuondoka kwny timu ambayo inauhakika wa kuchukua ubingwa aende timu ambayo inagombania nafasi ya pili au ya tatu ni ushauri wa kijinga
Sasa Azam ina pesa gani ukilinganisha na Simba au Yanga?Mpira pesa
Yanga ambayo hata uwanja wa mazoezi hawana! Azam hawawezi shindwa kumpandia dau zaidi ya analolipwa Yanga.Sasa Azam ina pesa gani ukilinganisha na Simba au Yanga?
Manchester city hawana uwanja... Aly ahl hawana kiwanja, AC milan hawana uwanja, inter Milan hawana uwanja, je nazo zinazidiwa hela na Azam?? Namungo ina kiwanja chake je nayo ni kubwa kuliko Simba au Yanga???Yanga ambayo hata uwanja wa mazoezi hawana! Azam hawawezi shindwa kumpandia dau zaidi ya analolipwa yanga
Unamtaka aje Azam ili na yeye aote kitambi siyo! Maana nyinyi timu yenu inajua kuwanenepesha tu wachezaji, na kuwaotesha vitambi.Habari za muda huu wapendwa,
Sakata za uhamisho za Januari naona zimeanza, nasikia Azam ameweka pesa nyingi sana kwa Fei Toto.
Bosi wangu Yusuph onesha jeuri ya pesa, ikikupendeza mpeni Fei mshahara anaoutaka na hata akihitaji kiwanda apatiwe tu, tunamuitaji sana.
Tunataka Azam iwe timu tishio.
Manchester city hawana uwanja... Aly ahl hawana kiwanja, AC milan hawana uwanja, inter Milan hawana uwanja, je nazo zinazidiwa ela na Azam?? Namungo inakiwanja chake je nayo ni kubwa kuliko Simba au Yanga???
Unajifunza kwa walioshindwa?Manchester city hawana uwanja... Aly ahl hawana kiwanja, AC milan hawana uwanja, inter Milan hawana uwanja, je nazo zinazidiwa hela na Azam?? Namungo ina kiwanja chake je nayo ni kubwa kuliko Simba au Yanga???
Wewe tulipingiana hela ukaingia mitiniHabari za muda huu wapendwa,
Sakata za uhamisho za Januari naona zimeanza, nasikia Azam ameweka pesa nyingi sana kwa Fei Toto.
Bosi wangu Yusuph onesha jeuri ya pesa, ikikupendeza mpeni Fei mshahara anaoutaka na hata akihitaji kiwanda apatiwe tu, tunamuitaji sana.
Tunataka Azam iwe timu tishio.