Yusuph Bakharesa fanya kitu kwa Fei Toto

Yusuph Bakharesa fanya kitu kwa Fei Toto

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habari za muda huu wapendwa,

Sakata za uhamisho za Januari naona zimeanza, nasikia Azam ameweka pesa nyingi sana kwa Fei Toto.

Bosi wangu Yusuph onesha jeuri ya pesa, ikikupendeza mpeni Fei mshahara anaoutaka na hata akihitaji kiwanda apatiwe tu, tunamuitaji sana.

Tunataka Azam iwe timu tishio.
 
Fei Toto Safari yake naona inataka Kufanana Na ya Mrisho Ngassa...!

Yaani Kipaji chake Kitaishia mchangani..hapa hapa Bongo.

Na Kwa Sasa Umri nao Unasogea, Japo sura Bado 'bebi face' ..
 
Fei Toto Safari yake naona inataka Kufanana Na ya Mrisho Ngassa...!

Yaani Kipaji chake Kitaishia mchangani..hapa hapa Bongo.

Na Kwa Sasa Umri nao Unasogea, Japo sura Bado 'bebi face' ..
Aende tu Azam
 
Kutoka Yanga kwenda Azam ni kupiga hatua kurudi nyuma.. Japo Azam ndio timu inayoendeshwa kisasa ila bado ni timu ndogo sana kulinganisha na Yanga au Simba
Udogo upi?
 
Udogo upi?
Azam ni timu inayojitafuta.. bado sana kuweza kuchukua ubingwa wa nchi hii ukiacha michuano ya kimataifa huko ndio haijulikani kabisa.. Sasa kumshauri mchezaji kuondoka kwenye timu ambayo ina uhakika wa kuchukua ubingwa aende timu ambayo inagombania nafasi ya pili au ya tatu ni ushauri wa kijinga.
 
Azam ni timu inayojitafuta.. bado sana kuweza kuchukua ubingwa wa nchi hii ukiacha michuano ya kimataifa huko ndio haijulikani kabisa.. Sasa kumshauri mchezaji kuondoka kwny timu ambayo inauhakika wa kuchukua ubingwa aende timu ambayo inagombania nafasi ya pili au ya tatu ni ushauri wa kijinga
Mpira pesa
 
Mimi nafikiri kama Azam wako serious watie Bilion 2 sidhani kama Yanga wata kataa. Hakuna mchezaji asiye uzwa kama unaweka fedha yenye ushawishi.
 
Habari za muda huu wapendwa,

Sakata za uhamisho za Januari naona zimeanza, nasikia Azam ameweka pesa nyingi sana kwa Fei Toto.

Bosi wangu Yusuph onesha jeuri ya pesa, ikikupendeza mpeni Fei mshahara anaoutaka na hata akihitaji kiwanda apatiwe tu, tunamuitaji sana.

Tunataka Azam iwe timu tishio.
Unamtaka aje Azam ili na yeye aote kitambi siyo! Maana nyinyi timu yenu inajua kuwanenepesha tu wachezaji, na kuwaotesha vitambi.

Lile ligolikipa lenu kutoka Zanzibar, sijui linaitwa Salule! Ndiyo kabisaa! Tambi kama lote! Ibrahimu Ajib anashindwa hata kucheza mpira kwa sasa kwa sababu ya kitambi!
 
Manchester city hawana uwanja... Aly ahl hawana kiwanja, AC milan hawana uwanja, inter Milan hawana uwanja, je nazo zinazidiwa hela na Azam?? Namungo ina kiwanja chake je nayo ni kubwa kuliko Simba au Yanga???
Unajifunza kwa walioshindwa?
 
Habari za muda huu wapendwa,

Sakata za uhamisho za Januari naona zimeanza, nasikia Azam ameweka pesa nyingi sana kwa Fei Toto.

Bosi wangu Yusuph onesha jeuri ya pesa, ikikupendeza mpeni Fei mshahara anaoutaka na hata akihitaji kiwanda apatiwe tu, tunamuitaji sana.

Tunataka Azam iwe timu tishio.
Wewe tulipingiana hela ukaingia mitini

Muwe mnaacha tambo za pesa wakati ni pangu pakavu.
 
Ujinga mwingine banah, yaani atoke yanga aende Azam hii lonyalonya??.
 
Back
Top Bottom