Yusuph Bakharesa fanya kitu kwa Fei Toto

Habari za muda huu wapendwa,

Sakata za uhamisho za Januari naona zimeanza, nasikia Azam ameweka pesa nyingi sana kwa Fei Toto.

Bosi wangu Yusuph onesha jeuri ya pesa, ikikupendeza mpeni Fei mshahara anaoutaka na hata akihitaji kiwanda apatiwe tu, tunamuitaji sana.

Tunataka Azam iwe timu tishio.
Akuna timu bongo ya kumnunua fei toto endeleeni kujitekenya na ķucheka wenyewe, uyo dogo labda apate timu nje ndo yanga watamuachia vinginevyo endeleeni na story za kwenye vilinge vya kahawa na wanzuki siku ziende
 
Kama FEI TOTO ana mawazo ya maisha ...basi nenda AZAM..
Ila kama unataka sifa za kuimbwa ktk media bakia Yanga...
Ila ujue simba na yanga hazimvumilii mtu hasa zikiyumba ktk matokeo ..
 
Unamtaka aje Azam ili na yeye aote kitambi siyo! Maana nyinyi timu yenu inajua kuwanenepesha tu wachezaji, na kuwaotesha vitambi.

Lile ligolikipa lenu kutoka Zanzibar, sijui linaitwa Salule! Ndiyo kabisaa! Tambi kama lote! Ibrahimu Ajib anashindwa hata kucheza mpira kwa sasa kwa sababu ya kitambi!
Kama nakuona vile unatype kwa hasira
 
Kama FEI TOTO ana mawazo ya maisha ...basi nenda AZAM..
Ila kama unataka sifa za kuimbwa ktk media bakia Yanga...
Ila ujue simba na yanga hazimvumilii mtu hasa zikiyumba ktk matokeo ..
Uhakika mno
 
Unamaanisha nini kusema akitaka maisha?
 
Manchester city hawana uwanja... Aly ahl hawana kiwanja, AC milan hawana uwanja, inter Milan hawana uwanja, je nazo zinazidiwa hela na Azam?? Namungo ina kiwanja chake je nayo ni kubwa kuliko Simba au Yanga???
Ndio mnavyojitetea mihogoni fc pale. Maana yangu ni kwamba kama timu inaweza kujenga kiwanja chake ambapo mihogo fc wameshindwa tangu 1935 hawawezi kosa dau la kumnasa mchezaji tena wa kibongo
 
Tell her
 
Unamtaka aje Azam ili na yeye aote kitambi siyo! Maana nyinyi timu yenu inajua kuwanenepesha tu wachezaji, na kuwaotesha vitambi.

Lile ligolikipa lenu kutoka Zanzibar, sijui linaitwa Salule! Ndiyo kabisaa! Tambi kama lote! Ibrahimu Ajib anashindwa hata kucheza mpira kwa sasa kwa sababu ya kitambi!

Mbona djuma shaban naye anacho[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari za muda huu wapendwa,

Sakata za uhamisho za Januari naona zimeanza, nasikia Azam ameweka pesa nyingi sana kwa Fei Toto.

Bosi wangu Yusuph onesha jeuri ya pesa, ikikupendeza mpeni Fei mshahara anaoutaka na hata akihitaji kiwanda apatiwe tu, tunamuitaji sana.

Tunataka Azam iwe timu tishio.
Yanga wambakiza Fei Toto kibabe
 
Akuna timu bongo ya kumnunua fei toto endeleeni kujitekenya na ķucheka wenyewe, uyo dogo labda apate timu nje ndo yanga watamuachia vinginevyo endeleeni na story za kwenye vilinge vya kahawa na wanzuki siku ziende
Bado upo hai mkuu? Heri YA krismass kwako😝😝😝😝😝
 
Azam ni timu inayojitafuta.. bado sana kuweza kuchukua ubingwa wa nchi hii ukiacha michuano ya kimataifa huko ndio haijulikani kabisa.. Sasa kumshauri mchezaji kuondoka kwenye timu ambayo ina uhakika wa kuchukua ubingwa aende timu ambayo inagombania nafasi ya pili au ya tatu ni ushauri wa kijinga.
Kwani ubingwa ndio nini
 
Back
Top Bottom