Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mchezaji mpya aliesajiliwa Simba kwa ajili ya msimu ujao, Yusuph Kagoma amepata majeraha ya mguu yatakayomweka nje ya uwanja kwa miezi kadhaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliosema yanga kasajili wazee wanaumia ovyo Sasa uyo kijana wenu kaumiaje? Mashabiki wa Simba akili zao ni sawa na za kondoo tu!Mchezaji mpya aliesajiliwa Simba kwa ajili ya msimu ujao, Yusuph Kagoma amepata majeraha ya mguu yatakayomweka nje ya uwanja kwa miezi kadhaa.
Wenzako ndio walianza kuwabeza yanga kuwa wamesajili wazee kwaiyo watakuwa wanaumia ovyo na kukaa nje mda mrefu Sasa uyo ni kijana vipi kaumiaje? Waulize wenzako kwanzaNadhani waungwana tunakoelekea ni kubaya, usimdhihaki mtu kwa kile ambacho hana control nacho!
kuumia ni sawa na kuugua yeyote anaugua muda wowote bila taarifa!
Tusishangilie mtu kupatwa majanga ni dalili ya uchawi na husuda!
Injury record ya dube ni mbovu kwahyo watu waseme hasumbuliwi na majeraha ya Mara kwa Mara?Waliosema yanga kasajili wazee wanaumia ovyo Sasa uyo kijana wenu kaumiaje? Mashabiki wa Simba akili zao ni sawa na za kondoo tu!
Tokea amekuja yanga kaumia mara ngapi tuambie tuweke rekodi sawa!Injury record ya dube ni mbovu kwahyo watu waseme hasumbuliwi na majeraha ya Mara kwa Mara?
Mashabiki wa yanga vichwa vyao vimejaa nnya!
Wee KOLO.Kaa kea kutulia.Wanasema ukienda bola guard wanagawa was tan kwa idadi.Nadhani waungwana tunakoelekea ni kubaya, usimdhihaki mtu kwa kile ambacho hana control nacho!
kuumia ni sawa na kuugua yeyote anaugua muda wowote bila taarifa!
Tusishangilie mtu kupatwa majanga ni dalili ya uchawi na husuda!