Yusuph Kagoma apata jeraha litakalomweka nje ya uwanja

Yusuph Kagoma apata jeraha litakalomweka nje ya uwanja

Mungu amfanyie wepesi apone haraka, japo mi mwananchi lakini sisi ni watani si maadui
 
Pole yake kwakweli huwa naumia sana kuona mchazaji mzawa anakuwa nje ya game kwa majeraha
 
Tokea amekuja yanga kaumia mara ngapi tuambie tuweke rekodi sawa!
Nenda facebook bro akili zako ndogo sana. Kama hujui injury record ni miongoni mwa vitu muhimu vinavyoangaliwa kabla ya kusajili mchezaji. Sikupi maeleza mengi maana najua kichwa cha shabiki wa yanga hakiwezi kuelewa.
 
Back
Top Bottom