Yusuph Manji achukua fomu za kugombea uenyekiti wa Yanga!

Uhuru wa maoni.... Sabodo naye Mhindi kama alivyokuwa Gulamali, Dewji, Bakhresa na wengineo. Mkiugua mnaenda kutibiwa India lakin hapa mnaleta unafiki wenu wa kibaguzi... Manji ameanza leo kujihusisha na Yanga?

Ahahaaa! Waambie hao wenye bendera nyingi mitaani kuliko mataji yaliyojaa Jangwani.
Mwaka huu tumewaachia watushikie kikombe chetu kwa muda wanachooonga!
 
Reactions: SG8
Kwasababu nyie mlishaongozwa na Fisadi mwingine wa CCM Mpanda na Bastola majukwaani Bwana Ade Maharage siyo?

AKA Alshahab!
Bora Manji wetu ambaye pamoja na ufisadi ni decent tajiri kuliko Adelina Maharage ambaye ni Alshahab, fisadi na mhuni wa Saigon!!
 
AKA Alshahab!
Bora Manji wetu ambaye pamoja na ufisadi ni decent tajiri kuliko Adelina Maharage ambaye ni Alshahab, fisadi na mhuni wa Saigon!!
Tena ni fisadi lisilokua na aibu,eti thamani ya Okwi ni 2bln????gosh!
 

Yanga na wanachama wake wote wanamuona Manji kama Mungu wao. Kuna watu wanadiriki humu kusema Manji ataibadilisha Yanga kuwa kama Man City!! Inashangaza sana kwa hili.....Msitegemee makubwa toka kwa huyo Mhindi KOKO. Yanga yeboyebo hawana dili.
 
akili za hao wanaomsapoti manji, na manji mwenyewe, ni kama kuku mwenye kideri....hebu angalia akili zao zilivyo za kutawaliwa na wenye pesa.
 
Yanga na wanachama wake wote wanamuona Manji kama Mungu wao. Kuna watu wanadiriki humu kusema Manji ataibadilisha Yanga kuwa kama Man City!! Inashangaza sana kwa hili.....Msitegemee makubwa toka kwa huyo Mhindi KOKO. Yanga yeboyebo hawana dili.
kwa hiyo Yanga hawana dili kwa sababu ya Manji? Kama uko Simba mambo ya Yanga yanakuhusu?
 
akili za hao wanaomsapoti manji, na manji mwenyewe, ni kama kuku mwenye kideri....hebu angalia akili zao zilivyo za kutawaliwa na wenye pesa. mwishowe mtaliwa 0713
Maneno matupu hayavunji mfupa. Manji alikuwepo Yanga tangu zamani, tena alikuwa na nafasi kubwa kuliko anayoitaka sasa ya kuwa Mjumbe wa Baraza la Wadhamini na pia Mfadhili. Tatizo liko wapi leo mpaka muanze kutoa siri za mambo mnayofanyiwa na kina Ade Maharage ya hapo kwenye bold?
 
mashabiki wa simba keleeeeleeeeeeeeeee haiwahusu hii manji ni yanga long time na soka sasaivi haimilikiwi na maskini tambueni hilo tuwe wakweli hakuna timu maskini inaowin kwenye soka wakubwa
 



Yanga haina cha ku-prove kwa Simba. Simba kelele nyingi tu mtaani na vikombe vya mbuzi huku Yanga wakijirundikia mataji ya nguvu pale Jangwani.

Kumbuka tu mwaka jana Yanga walikuwa machampioni wa nchi na Afrika yote ya Mashariki na kule Kati kwake. Tuone ninyi minofu mtakakofika mwaka huu - maana wale wachovu wa Sudani tu wamewatoa kamasi!!
 
Yaani Simba roho imewauma mpaka basi,wanajua ndo mwanzo wa kuwakosa wachezaji wao mahiri,wote watahamia Jangwani....jamani msije mkakosa usingizi usiku wa leo Manji kamchukulia mtu Form siyo ya kwake,kuweni na amani!
 
In next 2-3yrs"YANGA kama "TP MAZEMBE"
Nyie pigeni majungu.
Mungu ibariki "YANGA AFRICA"MUNGU MBALIKI"MANJI"KUDADADADEKI MTAJIJU!
 
kwani manji anacheo gani serikalini, hadi umuite fisadi babu?!! Kama manji fisadi na bakhresa fisadi pia
Nimesema maji ni fisadi na siyo bakhresa si kila tajiri ni fisadi....
 
Manji wana Yanga tunakuunga na kusupport kwa sababu wewe ni mtu muhimu sana kwa maendeleo ya Yanga.Kuna wanafiki wengi wamejaa humu ndani kwa hiyo ukiona comment zao wala usiotetereke wengi wao ni wafuasi wa Rage mzee wa reception kudadeki zao
 
Nchi hii imejaa wafikiriao kwa Masaburi kama wewe,ulitaka Yanga iendelee kuendeshwa kimaskini ili mechi inayokuja itukute kwenye mgogoro,wachezaji hawajalipwa mishahara yao na element za kuharibiana za ndani kwa ndani ili mtufunge tena?,PERIOD.

Huwezi kunieleza lolote Mkuu. Fisadi ni fisadi tu na wewe inaelekea ni mmojawao. Mtu yeyote aliyeshiriki wizi wa hela za watanzania na leo hii anajidai eti anasaidia team wapi na wapi. Atoke hadharani aeleze hela za Kagoda period. Wewe ndo wale ambao mnampinga Masaburi. Mbona action imechukuliwa, yuko wapi Simba na UDA yake? Ninajua ninachoongea ndugu ID Anselm!!
 
Tatizo hapa ni Simba Vs Yanga.Naona hapanifai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…