Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Uhuru wa maoni.... Sabodo naye Mhindi kama alivyokuwa Gulamali, Dewji, Bakhresa na wengineo. Mkiugua mnaenda kutibiwa India lakin hapa mnaleta unafiki wenu wa kibaguzi... Manji ameanza leo kujihusisha na Yanga?
Ahahaaa! Waambie hao wenye bendera nyingi mitaani kuliko mataji yaliyojaa Jangwani.
Mwaka huu tumewaachia watushikie kikombe chetu kwa muda wanachooonga!