Yusuph Mlela amtolea mitusi Ney wa mitego kisa Bongo movies kuandamana

Kumbe kuna fursa nyingine ya kujipatia kipato?
Waanze mazoezi ya boxing.
 
Pamoja na bongo movie kuna mdebwedo lakini neema hana lolote
 
Mlela hilo mnalolitaka haliwezi kufanikiwa, mbona muvi Za kanumba zilikuwa zinanunuliwa? Issue hapa ni kwamba nyinyi wenyewe mmekwishaharibu hii industry, nitakupa mfano Moscow tu, tizama yale maandishi yanayopita chini yanayotafsiri kwa english, ni aibu ya mwaka. Spelling mbovu, grammar mbovu, kila kitu hovyo. Aibu tupu. Hembu kuweni makini na kazi Muone kama hamtaungwa mkono
 
Hahaha halafu tununue bongo movies wakati Tanzania ya leo filamu tosha.
Wangeona jinsi wenzao wa Bongo Fleva wanavyohangaika kutoa video bora wala wasingehangaika. Hawa wanahangaika kwa kuwa wameshindwa kwenda na wakati na kushindwa kulisha walaji wao. Hivi hawaoni wenzao walivyobadilika? Au wanafikiri mafanikio yanakuja kwa kutumia ubabaishaji?
 
Hao bongo movie walijiharibia wenyewe!
Majitu gani si kipindi cha kampeni au baada yamegeuka kuwa masemaji ya ccm?
Kwahiyo mchana uponde weeee upinzani jioni nikae niangalie movie yenu Nina wazimu?
Ushauri wangu,
Fanyeni kampeni tu kipindi cha uchaguzi kama wenzenu bongo fleva baada ya hapo jikiteni kutengeneza script zenye akili!
Watu wata watazipenda tu!
Sasa juzi kwenye uzinduzi wa hostel pale udsm mulienda kufanya nini?
Jana mnashindwa kumshirikisha mwakyembe mnaenda kwa makonda!
 
Round 3?

Aombe waingie ulingoni kuzichapa kavu kavu, bila sheria wala rounds.
Nimecheka sana hii comment yako maana najua baada ya hapo Kamanda Sirro atapata cha kuzungumza tu kutokana na mtu mwingine kuumizwa sana na sura kupotea[emoji23] [emoji23]
 
Yani hapa Mlela amezidi kuonesha utahira wake.

Sasa masuala ya kutaka ngumi ndo nini sasa?

Inaonekana jamaa alikuwa na kinyongo cha muda mrefu na Ney ndio maana ameguswa kidogo tu ameyaongea yote.
 
Nimecheka sana hii comment yako maana najua baada ya hapo Kamanda Sirro atapata cha kuzungumza tu kutokana na mtu mwingine kuumizwa sana na sura kupotea[emoji23] [emoji23]

Sasa wewe ni ugomvi gani unaomba round 3, tena mmevaa gloves.

Kumbuka kila round ni 3 minutes, kwa hiyo eti anaomba wapigane kwa dakika 9!
 
Ney bora akae kimya,huyu yusuph ni mwanaume suruali tu,amuwezi kwa maneno!! Mtu mwenyewe anasukumiwa vyuma Uko nyuma,hizo round tatu anazozisema nahisi ni za kitandani!!
 
Niache kuangali marichuy, kina Ana paula contrera,maria soledad,etc watoto wazuuuri wa kimexican,nitizame bongomovie?.ooh no.

Hiyo ni size za wamama wa nyumbani na mahousegal,
mtu yeyote educated humkuti anaangalia hizo,zama zao zishapita watafute vitu vya kufanya.
 
Mh hapo sasa patamu. Anataka round tatu kavu kavu popote hata chumbani yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…