Yusuph Mlela amtolea mitusi Ney wa mitego kisa Bongo movies kuandamana

Mimi binafsi siipend bongo muvi kwa sababu zifuatazo
1.katikati ya muvi wanapita shortcut utaona "baada ya miezi Sita au baada ya mwaka mmoja" wakati wenzetu(mambele uko) huo mwaka mmoja hua wanatuonyesha wote means wataigiza Ata kwa episode ilimradi story inoge
2.story za bongo muvi nyingi sio created means sio mpya apa inabore yani unaangalia trela unaikumbuka myb ni story iliyokwishazunguka kwenye sms mtaani kama story ya kusisimua au kuhuzunisha apo Ata muvi hutamaliza coz unaijua Tayari ila pia story zao majini majini, zali la mentali au mapenzi
3.sometime quality ya muvi kua ndogo Sanaa yani unaona bora uzime TV ndio uangalie
Ushauri wangu kwa bongo muvi
1.Tengenezeni muvi za maana (high quality) apa kuna gharama na muda mwingi ila ili utengeneze kitu kizuri lazma ukigharamie Ata wenzetu muvy zao wanatumia mamilioni ya dola na kwa muda mrefu na wanatengeneza muvi ya maana inawalipa vizuri sokoni wakati huo ninyi mnawaza kuzifungia bila kujua tutazdounload tuu
2.mtunge story mpya zenye ustadi wa hali ya juu zifuatazo wavutia Ata wenzetu wa nchi za nje
 
Huyo mlela cjui anafikili wote wanapenda mauzo ckasema ney ni wa manzese amfuate huko wakzchape anamtangazia nan sasa na Ana Bahati sana tuko bongo angekua mbele akutane na madogo kama chief keef, bobby shmurda angeona wanachomfanya
 
Anatafuta kik TU hyo mella hana jipya

Ova
 

Naona wanataka kutulazimisha tuangalie movie zao wengi nimegundua wengi wanaotazama bongo movie ni watoto na wanawake pia wengine ni wale wasiojua kingereza
 
kanumba alishaondoka na bongo muvi yake labda wabadili jina la bongo muvi wanaweza toboa tena
 
Bwana Ney wa Mitego inabidi tuu, amkubalie bwana Yusuf Mlela, maana wakichapana atajulikana nani mbabe. Kuliko kutambiana sana na kujaza Saver za blog mbalimbali
 
Wao lazima wakubali kwamba movie za Bongo ni za viwango vya chini kabisa,.. Wangeweza kuboresha movie zao ndio lingekua suluhisho la ushindani na ukuzaji wa soko la filamu zao.. Ajue tu umaarufu wake upo kwa waschana wa kazi.
 
Cwez kuangalia filam ambayo mtekaj/jambaz anaingia ndan kufanya utekaj viatu anavua mlangon.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo wanatemea fast n furious ikiuzwa elfu 10 na bongo muvi iuzwe buku ntanunua bongo movie? Kwa kipi hasa? Pathetic
 
Mlel na wenzako wote hopeless mnazingua tu eti bongo movie movie mnazijua nyie? Bora kina kingwendu mi bongo naonaga vichekesho au comedy ndio kidogo wanaonekana wanafanya nn nyie kwanza hzo mnazoita movie nyingi mmekopy na hamzitendei haki kutokana na ufinyu wa bajeti zenu na hata wahusika wanapatikana kimagumashi tu hasa hao madem zenu kwa hyo tusizinguane mi binafsi siwapendi bongo movie na nna uhakika watanzania wengi hawana time na nyie kama mnavyoona response yao kwa zuio lililotolewa na shemeji yenu
 
Hivi hawa wanaoijiita bongo movie au ni vichekeshi yaani nitoe pesa yangu nikatazame uchafu huo kha
 
Duu mipasho ya mwajuma ndalandefu copyright
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…