Yusuph Mlela amtolea mitusi Ney wa mitego kisa Bongo movies kuandamana

yaani watu kama hawa ndio wanaopata media coverage? No wonder umaskini bado upo nchi hii.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuandamana kwa bongo movie ni sawa na kulazimisha penzi. Kama hatuwataki hatuwataki tu hata upigane na Zola D
 
Apo ndipo anathibitisha kuwa yeye ni taahira..ngumi za nini sasa
 
Jamaa mwenyewe rojo rojo huyu anataka 3 rounds labda alimaanisha rounds za ukutani🙄🙄
 
Mlela punguza hasra. Kuitwa tahra kwel inauma ila be patient my brother.
 
Hoja hujibiwa kwa hoja. Ngumi ni kukosa akili ndio maana lazima bongo movie ife kwa mtazamo wa huyu ambae anafikiria kwa kutumia musuli
 
Ney bora akae kimya,huyu yusuph ni mwanaume suruali tu,amuwezi kwa maneno!! Mtu mwenyewe anasukumiwa vyuma Uko nyuma,hizo round tatu anazozisema nahisi ni za kitandani!!
Hahahahaha!!
 
Ni kweli kabisa yaani zile scripts zinskuwaga na kiingereza kibovuuuuuuuuu. Sijui wamerongwa na nani hawa jamaa.
 
dogo katokwa povu la hatari.... ver unfortunately mabeki 3, hawana insta hawezi pata mashabiki wa kuona hilo povu...!
 
Mlela aje na yule jini wa bongo movie anaye ogopa kugongwa na gari akiwa ameacha mkorogo mwaka mmoja kabla
 
Nilikuwa namuona mlela anabusara! Ngoja nidhani tu hasira haina busara!!!! D D D
 
Mkuu suala ni kuwa watoe movie nzur kama za Kanumba au zaidi.

Suala wanalodai ni kweli kuwa biashara iwe balanced.

Lakini kwa kazi wanazotoa hata kama bei ikiwa ndogo kupita za nje bado watapata wateja wachache Sanaa!!!!!!

Wabadirike waendane na soko.

Hawajiulizi kwa nini watu watu wanadownload series za Korea au movie za Ghana au Hollywood kwa gharama kubwa badala ya kununua movie zao????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…