Yusuph Mlela amtolea mitusi Ney wa mitego kisa Bongo movies kuandamana

Yaani huyu mlela anayejichubua apambane na wa mitego?
basi Ney na ile mikelele yake mwenyewe unamuaminiiiiia!!..hahaha,maisha feki.Ney sio wa kumpiga kibezi mwanaume yoyote yule kimtaa mtaa.labda aje na serikali!
 
Sasa wewe ni ugomvi gani unaomba round 3, tena mmevaa gloves.

Kumbuka kila round ni 3 minutes, kwa hiyo eti anaomba wapigane kwa dakika 9!

mgomvi haswa haumalizi ugomvi, haswa ukimpiga...utakaa hata miaka mitatu!!
 
Mlela size yako hii hapa jitokeze nidhamini pambano
 
Kishelia
Ufikilivu
atujakataza

Ndio haya niliyasema jana, hivi vijamaa vinalazimisha viwe noticed hata kama ni vya hovyo. Ney is right, wanajulikana zaidi ya filamu zao na tunawajua kwa magazeti ya skendo. Sasa ndio uchafu gani huo ameandika?
 
kigwangala nilimshangaa sana alipokuwa anatafuta mashoga,nikawa najiuliza hivi bongo movie hapajui hivi nje ya filamu hizi za kukaa uchi na kulambalamba midomo hawakina mlela wanakazi gani nyinge kama sio,udananda na kujiuza kwa majimama na hizi zote ndo tabia za machoko
 
Hizo tafsiri sasa, ina maana hawazifanyii editing ama ni nini. Jamani Bongo movie na hili pia mtasema mnaonewa ama
 
yani pesa zangu afu unipangie ninunue movie gani?
 
Sasa mbona Mlela ameshindwa kujenga hoja! Ngumi round 3 imetoka wapi, povu lake linathibitisha tu kuwa Ney yuko right.
 
Kutokana na kuripotiwa vibaya na baadhi yetu, kwa sababu moja au nyingine, tumekuwa tukiwarushia mvua ya madongo wadau wa Bongo movies walioandamana kupinga uwiano mbovu wa kibiashara kati ya filamu za wazawa na zinazotoka nje ya nchi! Baada ya kumsikiliza mdau Yusuf Mlela kupitia, Global TV, binafsi nimepata picha tofauti kidogo!

Tusichoshane, hebu msikilizeni Yusuf Mlela wa Bongo Movies!:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…