Yusuph wa Tanzania 2025 ni Makonda

Mfyuuu....1
 
Ndugu huyo jamaa hananfuture kwenye siasa ataishia kwenye uteuzi tu ila bungeni atakuwa anawaangalia wenzake tu.
 
Nchi imeishiwa watu hadi mnaokoteza majambazi na wauaji kama Makonda na Sabaya.
 
Huyo ataanza kupora watu huyo hafaikua hata mbunge akilizake zinaongizwa na sifa nyingi hasitikufanya kitu kwa manufaa ya wachache
 
Ina maana mmesahau tabia za huyu mwizi...mtu haachi asili yake.
 
Tulisema huyo shoga muuaji hawezi kuwa Wziri Mkuu. Jipige kifua mara 3 sema mimi ni pimbi
 
Mkikosa vitu vya kuandika ni bora mkae kimya, sio mnatuletea upumbavu wenu. Kilichomkuta Kigamboni ndio kitamkuta Arusha
Ubunge wa Arusha kapata, lakini kwake utakuwa mgumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…