Nachangia kwa utaalam as mechanical engineer, Youtong technlojia na design iliyotumika kulitoa basi hilo kwa matumizi inaruhusu gari hilo kulala kwa nyuzi 52 (fitytwo degrees) wakati mabasi mengine including scania ni 32 degrees that means ikitokea kuyumba na tairi zikanyanyuka upande mmoja kwa mlalo nilioutaja, Youtong iko vizuri kurejea barabarani bila madhara tofauti na scania
Kwenye sifaza chuma kigumu na majina hiyo ni kwa miaka tuliyopita ni kweli tulihitaji mabasi yanayodumu kwa muda wa miaka mingi lakini sasa tunahitaji teknolojia ya kukuwezesha kufika kwa muda mfupi, comfortably na luxurier mambo ya unaisikia scania inavyolalamika mlimani htutaki!!!
Mdau umenisikitisha na poor analysis yako !!! , inaonyesha kweli unafahamu mambo kadhaa katika mabasi , lakini hujui mengi sana ,kichwa kimeniuma zaidi ulipojipa signature ya "mechanical engineer" kama ni kweli ,basi Tanzania tuna tatizo kubwa sana la wataalam.
Huwezi kulinganisha yutong na scania kwa kutumia vigezo vya aerodynamics , yutong anatengeneza bus body na chassis, scania wao wanatengeneza engine na chassis, ie yutong hatenegenezi engine na scania hatengenezi body, ukitaka kulinganisha kwa usahihi chagua official body za scania ie irrizar ,marcopollo, busscar .
Suala la stability na dynamics za mabasi ni pana sana , ila nikupe dondoo tu , steel suspension ambazo asilimia kubwa ya basi za kichina wanatumia ikiwemo yutong , sio stable kama air suspension . Fahamu pia kila mtengenezaji ana style tofauti tofauti katika kulikabili suala la safety na comfort, mfano volvo , benz man, wao wanapotumia air suspension huwa wanaeka airbag nne kwa axle, scania pekee huwa anaweka airbag mbili kwa axle.
Back to topic lengo la mtoa mada ilikuwa ni kulinganisha uwezo wa yutong na scania ikiwa katika( local body manufactures), to th best of my knowledge , yutong kupambana na scania itategemea zaidi model ya scania inayoshindana nayo, 93 au 94 sawa , lakini kama ni 114 113 au 124 yutong haiwezi, kama mdau mmoja hapo juu alivyoizungumzia 114 330 hp ,ambayo mifano yake ni basi kama allys, leina ,abood etc hizi huwezi kulinganisha hata kidogo na yutong.
kwenye suala la kudumu hapo ndo scania ipo vizuri zaidi, nikupe mfano tu production ya mwisho ya series 3 scania (93 ,113 na 143 )ilikuwa mwaka 1994 , lakini mpaka leo bado ni tool inayoaminika. Mind you hapa nina linganisha yutong latest model vs twenty years old scania ambazo Tanzania tunatumia, R 340 scania bus bado hazijaingia barabara za kwetu , ila ni habari nyingine kabisa .