Yuwapi Mh Zitto?

Yuwapi Mh Zitto?

Zito zi zito tena. Yuko kwenye maji ya sabuni ndani ya ndoo akisubiri kusuuzwa na kuanikwa kwenye jua kali
 
watu wenye upeo na uzalendo kama ZITTO hawawezi kuisha wala kupotea.mbona hadi leo mumeshindwa kuwasahau akina Patrice Lumumba,JK Nyerere,Ahmed Ben Bellah,Nelson mandela,sokou toure na Samora machel,,,,.... Zitto ni kama hawa watu ndio maana mumemkumbuka na mnamjadili hivi sasa
 
Kila siku Zitto we are tired with his man. Mwachie amalize masomo yake

Moderator tafadhali nibadilishie title ya thread yangu, andika hivi: Yu wapi Mh mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya mashirika ya umma
 
watu wenye upeo na uzalendo kama ZITTO hawawezi kuisha wala kupotea.mbona hadi leo mumeshindwa kuwasahau akina Patrice Lumumba,JK Nyerere,Ahmed Ben Bellah,Nelson mandela,sokou toure na Samora machel,,,,.... Zitto ni kama hawa watu ndio maana mumemkumbuka na mnamjadili hivi sasa

Haya aje jukwaani ili tuchote kutoka katika upeo wake. Wanakuwaga na upeo na uzalendo tu ikiwa hawajanunuliwa, wakishanunuliwa sahau
 
Back
Top Bottom