Z-Anto adai yupo tayari kurudi Tip Top lakini siyo WCB

Aisee nahisi nimefeli kwenye somo la kiswahili
Hahaha
Yani mfano kama wewe apo unavyokulaga chakula alafu ukatafuna vile. . .
Sasa pale chakula ndo 'mtendwa' manake analiwa
 
Yule demu wake kwenye ile video ya binti kiziwi bado yupo nae?
 
kama Anakula unga aseme kabisa apate msaada maana hii sio akili ya kawaida
 
Hahaha
Yani mfano kama wewe apo unavyokulaga chakula alafu ukatafuna vile. . .
Sasa pale chakula ndo 'mtendwa' manake analiwa
Anhaa, nilifikiri kutafuna kule kwa aina nyingine hahaha
 
Z Anto ni geneous, Big up sana bro, wcb michosho tu na kutiana njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…