binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Nipo mkuu. [emoji3]Yule demu wake kwenye ile video ya binti kiziwi bado yupo nae?
hahahahhh mambo mdada naskia ulishikwa na unga china ni kweli eti?Nipo mkuu. [emoji3]
Ndo bas tena kashachuja ajipange tenaMambo ya mpenzi jini aiseee naye alitamba sana enzi zake
Hahaha wananisingizia mkuu, mi nimeolewa huku ila sina permit yakurudi nchini [emoji12]hahahahhh mambo mdada naskia ulishikwa na unga china ni kweli eti?
Kwa hiyo ushambwaga z anto sio?Hahaha wananisingizia mkuu, mi nimeolewa huku ila sina permit yakurudi nchini [emoji12]
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Amefulia kwanini asiachwe (kidding) [emoji3]Kwa hiyo ushambwaga z anto sio?
vipi niliskia mlifunga ndoa na z anto ni kweli? na je mlizaa mtoto?
basi utaniibia penzi kidogo basi nami nifurahi jaman maana nkikumbuka ile video ya binti kiziwi nafarijika sana na urembo wakoAmefulia kwanini asiachwe (kidding) [emoji3]