Z-Anto adai yupo tayari kurudi Tip Top lakini siyo WCB

Z-Anto adai yupo tayari kurudi Tip Top lakini siyo WCB

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaleyale ya GK kwamba hapigi show bongo chini ya million 30,wakati hata million 3 hawezi kulipwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona kila MTU anaongelea WCB.? Abdu kiba naye nilimsikia
 
Lebo tano kubwa Tanzania zinamtaka!! Kuna recording lable kubwa nyingine zaidi ya WCB bongo.
 
Jf raha sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
ndo nani huyu z-Anto..!? nae anafanya kazi bodi ya mikopo au TCU.?
 
Back
Top Bottom