Z-Anto adai yupo tayari kurudi Tip Top lakini siyo WCB

Z-Anto adai yupo tayari kurudi Tip Top lakini siyo WCB

mafahari wa wili ni labda yeye na yule mpenzi wake jini! Hebu atutolee kwapa lake la janaba saiz..
 
Zamani Diamond alikuwa anajifanya yeye ni Z anto... Basi naona Z ana ego Fulani ...

MTU yeyote mwanamuziki kibongobongo kama atapewa mkataba mnono na wcb halafu akatae atakuwa na matatizo kichwani
 
Wcb imekuwa punching box , kila msanii akitaka ku make headline lazima aseme kitu kuhusu clue ya wcb
 
Watu huwa wanabakigi kwenye zama flani hivi bila kujua maisha yashasonga sana......
 
Wangejikusanya wote hawa, pamoja na Crazy GK, Dudu Baya, Mr. Nice, Afande Sele na wengine waunde kundi la pamoja waliite Zilipendwa All Stars.
 
Back
Top Bottom