Kuoa wake wengi sio dhambi ndiyo maana maandiko yasema tuijie kweli nayo kweli itatuweka huru....tatizo viongozi wa dini wanatukaririsha walivyodanganywa wao bila kuyachunguza maandiko ... ndiyo maana ukristo unakuwa ni kama kitanzi kwa wenye wake wengi ....ni kama kuna mkono wa shetani ili tusiijaze dunia kama agizo la MunguAhabu - mke 1
Herode - mke 1
Anania - mke 1
Pontio Pilato - mke 1
Yeroboamu - mke 1
Nebukadreza. - mke 1
Hamani - mke 1
Na wote walipotea njia na kumsaliti Mungu.
1. Ibrahimu - wake 2
2. Yakobo - wake 4
3. Daudi - wake 4
4. Sulemani - wake 700
5. Rehoboamu - wake 18
6. Abiya - wake 14
7. Elikana - wake 2
8. Lameki - wake 2
Na wote wakapata kibali machoni pa Bwana.
Lakini wachungaji wanatuambia kuwa kuoa wake wawili ni dhambi kwa Mungu.
Something somewhere is not right.
ukristo wa agano jipya unaitambua ndoa ya mke mmoja tu wala hapo viongozi hawahusikiUkristo haujakataza kuoa wake wengi. Mafundisho ya viongozi wa dini ndio yamekataza
Weka hapa aya inayosema ndoa lazima iwe ya mke mmoja.ukristo wa agano jipya unaitambua ndoa ya mke mmoja tu wala hapo viongozi hawahusiki
Hawa wote walibarikiwa/walipata kibali machoni pa Mungu kabla ata hawajaoa na Kuna walioangusha na hizo ndoa zao wakapoteza hicho kibali na kurudi kwa Mungu tena kutubu Ili wapate kibali tenaIbrahimu - wake 2Na wote wakapata kibali machoni pa Bwana.
2. Yakobo - wake 4
3. Daudi - wake 4
4. Sulemani - wake 700
5. Rehoboamu - wake 18
6. Abiya - wake 14
7. Elikana - wake 2
8. Lameki - wake 2
1 Wakorintho 7:2Weka hapa aya inayosema ndoa lazima iwe ya mke mmoja.
Hii sio amri ya Mungu bali ni ushauri wa mtume Paulo.Mtu anahukumiwa kwa kuvunja amri za Mungu na sio kwa kutofuata ushauri wa mitume na manabii.1 Wakorintho 7:2
[2]Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.
Nevertheless, to avoid fornication, let every man have his own wife, and let every woman have her own husband.
Alafu kumbe ni Paulo tu ndiye alisema hivyo, kumbe sio MunguPaulo alitoa amri kuwa "Askofu awe mme wa mke mmoja"
1Timotheo 3:2-12
Sasa viongozi wanatumia sababu hii kupinga ndoa za wake wengi utafikiri sisi wote ni Maaskofu.
Cite a biblical verse please.ukristo wa agano jipya unaitambua ndoa ya mke mmoja tu wala hapo viongozi hawahusiki