Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kuhalalisha uhuni wako.Ahabu - mke 1
Herode - mke 1
Anania - mke 1
Pontio Pilato - mke 1
Yeroboamu - mke 1
Nebukadreza. - mke 1
Hamani - mke 1
Na wote walipotea njia na kumsaliti Mungu.
1. Ibrahimu - wake 2
2. Yakobo - wake 4
3. Daudi - wake 4
4. Sulemani - wake 700
5. Rehoboamu - wake 18
6. Abiya - wake 14
7. Elikana - wake 2
8. Lameki - wake 2
Na wote wakapata kibali machoni pa Bwana.
Lakini wachungaji wanatuambia kuwa kuoa wake wawili ni dhambi kwa Mungu.
Something somewhere is not right.
ni kweli kabisa hujakosea hapa ktk wakorintho paulo anashauri kwa habari ya ndoa kama Yesu pia alivyoshauri kwa habari ya ndoa ktk mathayo..Hii sio amri ya Mungu bali ni ushauri wa mtume Paulo.Mtu anahukumiwa kwa kuvunja amri za Mungu na sio kwa kutofuata ushauri wa mitume na manabii.
Kwenye 1Wakorintho 7:1 mtume Paulo anashauri ni bora watu wasioe au kuolewa, lakini leo wakristo wanaoa na kuolewa kwasababu wanajua kilichoandikwa kwenye hiyo aya sio amri ya Mungu bali ni ushauri wa Paulo.
Hakuna sehemu yoyote kwenye Bible ampapo Mungu amekataza ndoa ya wake wengi.
mathayo 19:4-6Cite a biblical verse please.
Mkuu genius, kuoa mke wa pili au zaidi haibadilishi agano la kuwa mke na mme watakuwa mwili mmoja.1wakorintho 6:16 inaeleza kuwa mtu akilala na kahaba wanakuwa mwili mmoja,kwahiyo nikilala na makahaba 10 ninakuwa mwili mmoja na hao makahaba.Kahaba mmoja akilala na wanaume 10 anakuwa mwili mmoja na hao wanaume.mathayo 19:4-6
[4]Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke,
[5]akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
[6]Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.
Thibitishaukristo wa agano jipya unaitambua ndoa ya mke mmoja tu wala hapo viongozi hawahusiki