Morning Glory1
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 475
- 936
Kabla ya kutiririka naomba kunukuu
-Ukimuona mtu mzima analia ujue kuna jambo
-ukimuona mbwa juu ya mti ujue hajapanda mwenyewe huyo ila kuna mtu amempandisha
Kuna taarifa za kiintelejensia zimeibuka na zinadai kwamba kuna kiongozi mmoja wa ngazi ya juu pale wizarani ndiye aliehusika kuishinikiza bodi ya ligi kuitisha kikao cha dharura kwa ajili ya kufanya maamuzi ya kuahirisha mechi ya derby
Kwhy ukiona viongozi wa serikali wanahangaika kutafuta suluhu ya hili swala ujue kwamba awahangaiki kwa bahati mbaya ila wanajua fika ni uhuni gani wameufanya na kwhy wanajaribu kuficha aibu isijulikane kwa wadau wa soka na pia wanaogopa kua endapo itabainika na endapo viongozi wa yanga wataendelea kushikilia bomba basi rungu la fifa la tanzania kufungiwa kujihusisha na maswala ya mpira wa miguu litakua linatuhusu
Kama ulisikiliza vzr madai ya Mzee Mguto kua kama ili swala litatushinda basi kutalirudisha serikalini utagundua kua Mzee Mguti anajua anachokiongea na manake ni kwamba tutaurudisha msala kwa alieusababisha..kwhy ushauri wangu kwa viongozi wa yangu acheni na kuhangaika na kina Mzee Mguto na kina Almasi Kasongo hawa ni sawa na mbuzi wa kafara tu ila mchawi wao mkubwa yuko pale wizarani na kwa taarifa za kiuchunguzi ambazo ni za ndaaaaani kabisa zinadai mchawi ni naibu waziri wa wizara "mzee wa mabinti damudamu" ndie muhusika mkuu aliepiga simu kuishinikiza bodi kufanya yale maauzi
Na mkiona mzee Mangungu na viongozi wa simba wanajiamini kuhusu hili sakata ni kwasababu wana kibaraka wao pale wizarani maalum kwa ajili ya kulinda maslahi ya simba..najua ni ngumu kudeal na serikali moja moja lakini ni vzr sana kua na ufahamu kua cheini ya huu uozo inaanzia mbali
Kama kweli itabainika kua amehusika tunamtaka huyu naibu waziri ambae tunajua ni mnazi mkubwa sana wa simba ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi mapana ya mpira wetu.IT'S TIME TO KILL ALL THE COCKROACHES IN OUR FOOTBALL