Za ndaani: Sakata la Inonga na Simba limefikia hapa

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Enock Inonga amejua hana maisha ndani ya Simba na pia anajua alichowauzi Simba ila alikuwa hajui kuwa Simba wapo mbele yake kimawazo.

Baada ya kugundua hili alianza kutafuta Timu hasa zile ambazo zilikuwa zinamujitaji sana akaweza kupata na mazungumzo ya Agent yalienda vizuri ila tatizo ni ile Timu inataka Inonga Awe huru ili aweze kupata Fedha kama wao binafsi maana kwa sasa ni lazima kuwasiliana na Simba ili kumpata sababu ana mkataba wa zaidi ya Mwaka au msimu mzima.

Hivyo akaanza kufanya vitimbwi ili afukuzwe au kuachwa awe huru afanikishe matakwa yake na Agent kwa ile Timu, amefanya mengi sana nyuma ya pazia muda muafaka ukafika Simba wakastukia kila kitu na kuuliza ile Timu wakakiri kila kitu hivyo Simba wakawaambia Fuateni Taratibu hakuna shida.

Hapa kwenye kufuata Taratibu ndio kitu ambacho Inonga hakutaka akaendeleza visa Simba wao wakawa wanacheka na wakamuweka pembeni ya mpangokazi wa Mwisho, Inonga amekuja kustuka amebaki peke yake akaona kuondoa Aibu ni ruhusa Akapewa Simba wametulia tu.

Maana hawezi kufanya chochote mikataba yote ipo katika System ya usajili na ITC na vibali vya kazi vinampa uhalali mpaka Mkataba wake Uishe au la Anuniwe hata kwa bei ya kutupa ila taratibu zifuatwe Cha ajabu Inonga kila anachofanya anaona Sio Viongozi wala Mashabiki wanaemuongelea wamemuacha kama hayupo hii inamfanya kuchanganyikiwa maana hata akibaki hana maisha ndani ya Simba na hawezi kupata namba wa fedha za ziada kuongeza mkataba.

Dawa ya Muosha ni Kuoshwa na ndio inavyotokea Beki Mahiri na Mtaalamu sana Kukosa Nuru na Thamani ndani ya Simba Enock Inonga.
 
Ukipanda upupu utavuna upupu na miwasho, hicho ndo alichokutana nacho.
 
Wachezaji wengi wa Congo wanavituko sana rejea
Fiston mayele
Juma shaban
Yannick bangala
Shishimbi
Teacher
Hao wote walianzisha migomo ya kijinga
 
Wamuache aende huko anakotaka yeye, mbona wachezaji wako wengi? Walikuja kina Okwi na Mavugo na waliondoka, ajabu nn kwake?
 
Acheni visingizio Simba wachezaji wengi wamechoka kwani umri umewapa kisogo akiwemo huyo Inonga mwenyewe.

Mimi nashangaa sana Tanzania kwa hizi zama, hawaamini kabisa katika wachezaji chipukizi kwani zaidi ya asilima 95 ya wachezaji kwenye ligi zetu zote nchini wako juu ya miaka 25...!! Sijui hii maana yake nini.
 
Enock Inonga amejua hana maisha ndani ya Simba na pia anajua alichowauzi Simba ila alikuwa hajui kuwa Simba wapo mbele yake kimawazo.

Baada ya kugundua hili alianza kutafuta Timu hasa zile ambazo zilikuwa zinamujitaji sana akaweza kupata na mazungumzo ya Agent yalienda vizuri ila tatizo ni ile Timu inataka Inonga Awe huru ili aweze kupata Fedha kama wao binafsi maana kwa sasa ni lazima kuwasiliana na Simba ili kumpata sababu ana mkataba wa zaidi ya Mwaka au msimu mzima.

Hivyo akaanza kufanya vitimbwi ili afukuzwe au kuachwa awe huru afanikishe matakwa yake na Agent kwa ile Timu, amefanya mengi sana nyuma ya pazia muda muafaka ukafika Simba wakastukia kila kitu na kuuliza ile Timu wakakiri kila kitu hivyo Simba wakawaambia Fuateni Taratibu hakuna shida.

Hapa kwenye kufuata Taratibu ndio kitu ambacho Inonga hakutaka akaendeleza visa Simba wao wakawa wanacheka na wakamuweka pembeni ya mpangokazi wa Mwisho, Inonga amekuja kustuka amebaki peke yake akaona kuondoa Aibu ni ruhusa Akapewa Simba wametulia tu.

Maana hawezi kufanya chochote mikataba yote ipo katika System ya usajili na ITC na vibali vya kazi vinampa uhalali mpaka Mkataba wake Uishe au la Anuniwe hata kwa bei ya kutupa ila taratibu zifuatwe Cha ajabu Inonga kila anachofanya anaona Sio Viongozi wala Mashabiki wanaemuongelea wamemuacha kama hayupo hii inamfanya kuchanganyikiwa maana hata akibaki hana maisha ndani ya Simba na hawezi kupata namba wa fedha za ziada kuongeza mkataba.

Dawa ya Muosha ni Kuoshwa na ndio inavyotokea Beki Mahiri na Mtaalamu sana Kukosa Nuru na Thamani ndani ya Simba Enock Inonga.
Sasa hapo nani mjinga?!! Kukaa naye akiwa benchi tu, huku ukimlipa stahiki zake hadi mkataba wake uishe,au kumuuza ili timu iambulie chochote?! Akili nyingine bnana!!
 
Acheni visingizio Simba wachezaji wengi wamechoka kwani umri umewapa kisogo akiwemo huyo Inonga mwenyewe.

Mimi nashangaa sana Tanzania kwa hizi zama, hawaamini kabisa katika wachezaji chipukizi kwani zaidi ya asilima 95 ya wachezaji kwenye ligi zetu zote nchini wako juu ya miaka 25...!! Sijui hii maana yake nini.
Mkuu kwa chipukizi gani walioko Tz?!! Kwani wengi si ndio wako kwenye hizo timu za, jk tanzania, ihefu, tabora, mashujaa, wanafanya nini huko? Hao ndio uwapeleke ligi ya mabigwa, huo utani!! Mchezaji anaandaliwa sio papatu papatu tu, timu yako ya Taifa ina wachezaki gani?)
 
Back
Top Bottom