ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Wakati mnaendelea na mapambano sisi tuna tangaza ubingwa wa 30
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi vilabu vikubwa havina kabisa (Youth Policy) sera ya kuandaa vijana (mayoso) na badala yake wanatumia pesa nyingi kukimbilia kusajili wachezaji mikomao ambao hawana lolote la maana ila kula tu pesa na ndio maana timu ya taifa ni kichwa cha mwenda wazimu siku zote.Mkuu kwa chipukizi gani walioko Tz?!! Kwani wengi si ndio wako kwenye hizo timu za, jk tanzania, ihefu, tabora, mashujaa, wanafanya nini huko? Hao ndio uwapeleke ligi ya mabigwa, huo utani!! Mchezaji anaandaliwa sio papatu papatu tu, timu yako ya Taifa ina wachezaki gani?)
Mkuu umemuelewa mtoa maada kasema kuwa hakuna timu imekuja mezani yeye Inonga anataka aondoke. Free ndo kitu Simba haitakiSasa hapo nani mjinga?!! Kukaa naye akiwa benchi tu, huku ukimlipa stahiki zake hadi mkataba wake uishe,au kumuuza ili timu iambulie chochote?! Akili nyingine bnana!!
Asingetuchomesha mechi nyingi,ningekuwa upande wake aruhusiwe kwenda atakapo.Enock Inonga amejua hana maisha ndani ya Simba na pia anajua alichowauzi Simba ila alikuwa hajui kuwa Simba wapo mbele yake kimawazo.
Baada ya kugundua hili alianza kutafuta Timu hasa zile ambazo zilikuwa zinamujitaji sana akaweza kupata na mazungumzo ya Agent yalienda vizuri ila tatizo ni ile Timu inataka Inonga Awe huru ili aweze kupata Fedha kama wao binafsi maana kwa sasa ni lazima kuwasiliana na Simba ili kumpata sababu ana mkataba wa zaidi ya Mwaka au msimu mzima.
Hivyo akaanza kufanya vitimbwi ili afukuzwe au kuachwa awe huru afanikishe matakwa yake na Agent kwa ile Timu, amefanya mengi sana nyuma ya pazia muda muafaka ukafika Simba wakastukia kila kitu na kuuliza ile Timu wakakiri kila kitu hivyo Simba wakawaambia Fuateni Taratibu hakuna shida.
Hapa kwenye kufuata Taratibu ndio kitu ambacho Inonga hakutaka akaendeleza visa Simba wao wakawa wanacheka na wakamuweka pembeni ya mpangokazi wa Mwisho, Inonga amekuja kustuka amebaki peke yake akaona kuondoa Aibu ni ruhusa Akapewa Simba wametulia tu.
Maana hawezi kufanya chochote mikataba yote ipo katika System ya usajili na ITC na vibali vya kazi vinampa uhalali mpaka Mkataba wake Uishe au la Anuniwe hata kwa bei ya kutupa ila taratibu zifuatwe Cha ajabu Inonga kila anachofanya anaona Sio Viongozi wala Mashabiki wanaemuongelea wamemuacha kama hayupo hii inamfanya kuchanganyikiwa maana hata akibaki hana maisha ndani ya Simba na hawezi kupata namba wa fedha za ziada kuongeza mkataba.
Dawa ya Muosha ni Kuoshwa na ndio inavyotokea Beki Mahiri na Mtaalamu sana Kukosa Nuru na Thamani ndani ya Simba Enock Inonga.