Za ndaani: Sakata la Inonga na Simba limefikia hapa

Hivi vilabu vikubwa havina kabisa (Youth Policy) sera ya kuandaa vijana (mayoso) na badala yake wanatumia pesa nyingi kukimbilia kusajili wachezaji mikomao ambao hawana lolote la maana ila kula tu pesa na ndio maana timu ya taifa ni kichwa cha mwenda wazimu siku zote.
 
Sasa hapo nani mjinga?!! Kukaa naye akiwa benchi tu, huku ukimlipa stahiki zake hadi mkataba wake uishe,au kumuuza ili timu iambulie chochote?! Akili nyingine bnana!!
Mkuu umemuelewa mtoa maada kasema kuwa hakuna timu imekuja mezani yeye Inonga anataka aondoke. Free ndo kitu Simba haitaki
 
Asingetuchomesha mechi nyingi,ningekuwa upande wake aruhusiwe kwenda atakapo.
Fei Toto aliifia yanga hadi mechi yake ya mwisho.Hakuisaliti hata siku moja.Alikuwa na haki ya kusikilizwa.Huyu kauza mechi,halafu wanakuja watu wanasema aruhusiwe aendoke kirahisi rahisi tu! Acha alipie ujinga wake kwanza kwa kukalia benchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…