Za ndani kabisa kuhusu sakata la Fei Toto

Kumbe jamaa ni mrangi wa kongwa


Huwa nawachukuliaga poa sana warangi na mara zote nawawekaga daraja la chini mno mpaka nilipokutana na huyu jamaa nikalazimika kuwapandisha daraja
Nani kakwambia huyu ni mrangi? Huyu na Karia dugu moja kutoka Mogadishu.Hapo Kongwa ni sawa na Bashe kule Nzega au Rage kule Tabora.
 
Sasa umeamua kutudanganya.Taarifa rasmi dau halijawekwa wazi,wewe unakuja na hadithi za 270M
Jamaa wanadhan km akiondoka kwa pesa mingi ndio heshima kwa klabu hawajui kila kitu ni makubaliano tu hata km kaondoka bure heshima ya uto ipo palepale
 
Unashindaga kijiwe gani cha kahawa hapa Mjini?
 
Wewe ni kolo tu kama Makolo wengine, hata kama kasajiliwa bure wewe inakuhusu nini ?
 
Umeandika upumbavuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…