Za ndani kabisa kuhusu sakata la Fei Toto

Muuza Viat

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2022
Posts
2,826
Reaction score
7,388
Baada ya Bi Mkubwa kutoa tamko kuhusu Mtoto ilibid wananchi wawasiliane fasta na Mtoto wamwambie km vp ktk zile m110 ulizoleta ongeza 40m ili itimie 150m mambo yaishe.

Jibu la dogo akawaambia amechoma pesa mingi kwa mawakil+wapambe pamoja na gharama za kujikim ukizingatia hana mishe amebakiwa na 70m km wanataka wachukue la wakomae aende cas.

Jamaa wakamaind wakamwambia acha kudekadeka dogo au kwa vile umemsikia bi Mkubwa kaongea vile ndio unakaza?

Mawasiliano yakakata.

Taarifa zikamfikia boss kubwa Ghaarib na km unavyojua wafanyabiashara ni watu wa kusaka fursa kwa hiyo boss kubwa ameona aonyeshe utii kwa bi Mkubwa kwa sabab huko ndiko kulikojaa fursa.

Dogo akaambiwa atoe alichokua nacho ili kuvunja mkataba na haruusiw kuliongelea hili popote pale ili kulinda hadhi ya taasis kubwa isijeonekana imeufyata na akaanze maisha mapya.

Dogo akatoa simu ili kuwasiliana na sponsa atume mpunga kwa jamaa na kusain nyaraka zilizoandikwa kwa kiswahili ili kusiwe na malalamiko kwamba hajaelewa lugha.

Mtoto anakula 22m kwa mwez gari+nyumba kali na usafir wa kwenda unguja kila siku ticket ya kwenda na kurudi.

kaambiwa aorodheshe majina ya ndugu zake 50 wa kiwango cha elimu chochote hata km elimu ya mtaa hadi uprofesa watapewa ajira ktk makampun ya SSB

Kwa ofa hii angeanzaje kukataa kujilipua
 
Baada ya Bi Mkubwa kutoa tamko kuhusu Mtoto ilibid wananchi wawasiliane fasta na Mtoto wamwambie km vp ktk zile m110 ulizoleta ongeza 40m ili itimie 150m mambo yaishe.

Jibu la dogo akawaambia amechoma pesa mingi kwa mawakil+wapambe pamoja na gharama za kujikim ukizingatia hana mishe amebakiwa na 70m km wanataka wachukue la wakomae aende cas.

Jamaa wakamaind wakamwambia acha kudekadeka dogo au kwa vile umemsikia bi Mkubwa kaongea vile ndio unakaza???

Mawasiliano yakakata.

Taarifa zikamfikia boss kubwa Ghaarib na km unavyojua wafanyabiashara ni watu wa kusaka fursa kwa hiyo boss kubwa ameona aonyeshe utii kwa bi Mkubwa kwa sabab huko ndiko kulikojaa fursa.

Dogo akaambiwa atoe alichokua nacho ili kuvunja mkataba na haruusiw kuliongelea hili popote pale ili kulinda hadhi ya taasis kubwa isijeonekana imeufyata na akaanze maisha mapya.

Dogo akatoa simu ili kuwasiliana na sponsa atume mpunga kwa jamaa na kusain nyaraka zilizoandikwa kwa kiswahili ili kusiwe na malalamiko kwamba hajaelewa lugha.

Mtoto anakula 22m kwa mwez gari+nyumba kali na usafir wa kwenda unguja kila siku ticket ya kwenda na kurud,

Source!?

Trust me bro
 
kwa namna ulivyo malizia,
Watu wenye maarifa wanajua kabisa kuwa TAARIFA yako ni ya uongo (FEKI !!!)
 
Bongo nyuso sana, anaweza kukuelezea kuliko mwenyewe unavyoweza kujielezea...
 
mbeba tunguri kaondoka.sasa ni zamu ya simba kurudia utawala wake.hilo ni anguko la utopolo
 
Back
Top Bottom