Za ndani kabisaa. Kuna mapandikizi ndani ya Chadema yametumwa hivi karibuni kukiharibu chama. Yanajisahau hii sio Chadema ya Mbowe

Yanatumia mbinu za kizamamani kama enzi zile za Nazi ya ujerumani. Kurekodi na kutuma taatifa huko CCM.

Yanajifanya ni mamtu matiifu kwa Chadema lakini sio kweli. Soon yataaibika maana hii sio ile Chadema ya Mbowe.
ok.
bandikizi mojawapo nadhani ni heche, kulingana na mchome
 
Yanatumia mbinu za kizamamani kama enzi zile za Nazi ya ujerumani. Kurekodi na kutuma taatifa huko CCM.

Yanajifanya ni mamtu matiifu kwa Chadema lakini sio kweli. Soon yataaibika maana hii sio ile Chadema ya Mbowe.
Hii mbinu inaitwa "mtu kukimbia kivuli chake". Yaani mtu upo pamoja nae ndani ya chama lakini hamuaminiani. Ahahahahaha!

Niliishawahi kutoa ushauri humu JF kwamba, ili kuondoa mamluki wote ndani ya Chadema, wanachama wa Chadema wote wafukuzwe ili chama kibaki kisafi!!
 
Kuwa na mapandikizi(Kiss spies) kuwa ndani ya vyama vya upinzani siyo jambo geni. Na mara nyingi lengo la haya mapandikizi ni kuvidhohofisha kiutendaji ili visiwe threat kwa chama Dola.. Chama Dola kinajua kabisa hakina backup nzito ya Raia wa kawaida.. hivyo lazima kifanye mafekechee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…