Za ndani ni kuwa Ole Sabaya anaenda kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

Sio siri ccm inahitaji majambazi kama sabaya ku survive
Sabaya akirejea kwenye mfumo idadi ya watu wanaopotea kwenye mazingira ya kutatanisha itaongezeka mara dufu.
 
Pia sio rahisi kwa sabab boss wa sasa sio kama alieenda zake. Kina sabaya and the likes walikuwa wanatekeleza maagizo ya jiwe precisely. the man was 😈
 
Utawala wa mwenda uliikuwa wa kigaidi
 
Back
Top Bottom