Za ndani....Simba kupewa points 3 mechi ya Namungo.

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Za ndani zinasema Simba kupewa points 3 kutoka mechi yao waliyocheza na Namungo na kutoa draw. Kuna mchezaji alikuwa hajamaliza adhabu ya card alichezeshwa na Namungo

Sasa hivi ni upepo unasomwa tu unavyoenda kutoa tamko rasmi.
 
Mbona hujasema ni mchezaji gani?
 
Za ndani zinasema Simba kupewa points 3 kutoka mechi yao waliyocheza na Namungo na kutoa draw. Kuna mchezaji alikuwa hajamaliza adhabu ya card alichezeshwa na Namungo

Sasa hivi ni upepo unasomwa tu unavyoenda kutoa tamko rasmi.

Mkuu unataka kubwetesha Simba kwa match 7 zilizobaki
 
Hakuna hiyo sheria ya kupewa point 3 za mezani, lilishaondolewa. Timu zipambane uwanjani, Suala la kadi 3 za njano huwa linazungumzwa na kamishna wa mechi husika siku kadhaa kabla ya mechi. Barua inatumwa kukumbusha wachezaji wenye kadi nk.

Ondoa huu UPUUZI.
 
Wapewe 8 tuanze upya hawa mwaka huu ni wepesi kama pamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…