Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na anasema ni taarifa za ndaniMbona hujasema ni mchezaji gani?
Za ndani zinasema Simba kupewa points 3 kutoka mechi yao waliyocheza na Namungo na kutoa draw. Kuna mchezaji alikuwa hajamaliza adhabu ya card alichezeshwa na Namungo
Sasa hivi ni upepo unasomwa tu unavyoenda kutoa tamko rasmi.
Tatizo zile press zinaweza kujirudia tenaapewe sita kabisa no problem
au mpewe nane tuanze ligi upya no problemTatizo zile press zinaweza kujirudia tena
Au chukueni zile points zenu za CAF mjazie huku no problem, au wa deduct kwenye points zetu wawape nyie no problem , let's rumble
Wapewe 8 tuanze upya hawa mwaka huu ni wepesi kama pambaHakuna hiyo sheria ya kupewa point 3 za mezani, lilishaondolewa. Timu zipambane uwanjani, Suala la kadi 3 za njano huwa linazungumzwa na kamishna wa mechi husika siku kadhaa kabla ya mechi. Barua inatumwa kukumbusha wachezaji wenye kadi nk.
Ondoa huu UPUUZI.