3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
huna akiliAu chukueni zile points zenu za CAF mjazie huku no problem, au wa deduct kwenye points zetu wawape nyie no problem , let's rumble
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huna akiliAu chukueni zile points zenu za CAF mjazie huku no problem, au wa deduct kwenye points zetu wawape nyie no problem , let's rumble
Wala sihitaji kua nazo
poleWala sihitaji kua nazo
hakuna kanuni ya kipuuzi kama hiyo kwenye ligi yoyote duniani. Kama kweli Kichuya alikuwa na kadi 3 za njano lazima klabu iwajibishwe.Hili halipo labda tu iwapo Namungo walijulishwa na TFF lakini wao wakamchezesha huyo mchezaji kwa makusudi. Toka sakata la mchezaji wa Kagera Sugar (nimemsahau jina) na Simba miaka michache iliyopita jukumu la kuzijulisha timu kabla ya mechi kuhusu wachezaji wao wenye kadi wasioruhisiwa kucheza mechi husika lilibaki kwa TFF na si kwa timu husika.
Hivi bayern walivyochezesha wachezaji 12 ilikuwaje?Kwa ninavyoelewa sheria za sasa hazibadilishi matokeo ya ndani ya uwanja zaidi adhabu zitahusu wahusika moja kwa moja kwa muktadha huu yaani timu au mchezaji husika au wote kwa pamoja.
😂😂Au chukueni zile points zenu za CAF mjazie huku no problem, au wa deduct kwenye points zetu wawape nyie no problem , let's rumble
Za ndani zinasema Simba kupewa points 3 kutoka mechi yao waliyocheza na Namungo na kutoa draw. Kuna mchezaji alikuwa hajamaliza adhabu ya card alichezeshwa na Namungo
Sasa hivi ni upepo unasomwa tu unavyoenda kutoa tamko rasmi.
Siamini kama wamefikia huku hawa. 😀Mpewe Kabisa Izo Nane Zilizobaki Tuwe Sawa Af Sisi Na Nyie Kwa Mechi Ambazo Kila Mmoja Kabakiza Tuone Nani Atasanda.