NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Naaam! Hayawi hayawi Sasa yamekua
Mtoto akililia wembe MPE, ndiyo hayo siyo maneno yangu Bali ni maneno ya Wahenga na kiuhalisia kabisa hii fainali Simba SC waliitaka kwa hali na Mali ili wapoze machungu ya Mashabiki Wao Wenye uchu ya makombe na kuona timu Yao ikipiga hatua kimataifa na siyo kuishia robo robo.
Twende kwenye point kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, NALIA NGWENA aka undercover nimepata information kutoka kwenye vyombo vyangu vya ndani kabisa kutoka huko Morroco
Ya kua wametuma barua ya Maombi kwenda shirikisho la Soka (Caf) siku ya fainali 17/05/2025 first leg and second leg siku hiyo wajifunge Misuli tu na jezi ya juu maana wamesikia Kuwa Vijana Wa Simba SC watapakwa mafuta ya Mwaposa.
Mtu Wangu wa KARIBU aliyeiona hiyo barua, ameniambia Kuwa wamesisitiza mno tena mno wameliomba shirikisho wapate ridhaa hiyo ya kujifunga Misuli tu Kisha mbungi ipigwe.
Ushauli Wangu: Simba SC waende kwa tahadhari kubwa sana, nikiwa kama mzalendo sitaki kuona Taifa likipata aibu.