Zabibu kutoka Dodoma

Zabibu kutoka Dodoma

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,595
Reaction score
3,670
Wadau nina uwezo ya kupata zabibu za kutosha hata kufika kiasi cha tani 1 kutoka Dodoma ila tatizo sijajua wapi naweza pata soko la uhakika

Kama kuna mtu ni mdau au anamjua mtu yeyote anaenunua zabibu kwa hapa Dar basi naomba anijulishe anaweza kuchukua kwa bei gani ili tuweze kufanya biashara

Natanguliza shukrani.
 
Mimi natafuta juice ya Zabibu zamani ilijaa madukani ikijulikana kama "black currant" kama mtu anajua inapopatikana naomba anijuze
 
Mkuu Nyati hzo black currant mbn zipo madukani, zabibu zenyewe vp huna mteja?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom