Zabron singers kwenye sherehe za kumuapisha Ruto

Zabron singers kwenye sherehe za kumuapisha Ruto

Wengine wnapenda kuwaalika wale wakata mauno, wanaimba mambo hata hayaeleweki
Kwenye kmpn wanawambia watu rusha mikono juu ,sijui sema oyoooo
Mara inamaa nkuchomeke gdmit

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Wanarikiwe sana hawa wanakwaya walahi, maana nyimbo zao zinatubariki sana walahi
 
Hawa jamaa jana tarehe 13/09/2022 kwenye sherehe za kumuapisha Rais mteule wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Kenya Mhe.Ruto walifanya makubwa sana walipowainua na kuwachezesha maelfu kwa mamia ya Wakenya pale Kasarani.

Hakika mmetuwakilisha vema..huu wimbo wao wa Nimeuona Mkono wa Bwana hakika una ujumbe murua sana.
Kongole kwao japo Wakenya hawakawii kusema hawa waimbaji ni wakwao maana wao kila kitu kizuri ni cha kwao.
Huko kwa Wageni nchini Kenya wamekubalika, ila usishangae kusikia huku Kwetu Tanzania si tu hawakubaliki bali wanaonekana Kituko pia.
 
Back
Top Bottom