Huo wimbo unapenda mpaka na waislamu kiufupi ni wimbo unaopendwa na watu wengi.Nakumbuka kuna mwamba wakati tupo darasani ( chuo ) aliweka Huu wimbo kama ringtone bahati mbaya simu yake hakuweka silent alafu lecture yupo class wimbo ukaanza kuiita tukaanza kumcheki msela huku tunacheza kwakutingisha kichwa, lecture akamwita jamaa wa yule mwenye mwiito wa huo wimbo akamwambia nikimaliza kufundisha hapa naomba unirushie huo wimbo kwenye simu yangu dah! Tulicheka tulidhani msela atapigwa pini na lecture