Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Kuna ule wa Sweet Sweet[emoji16]
Hahahah... eeh kwenye harusi huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ule wa Sweet Sweet[emoji16]
Duh!...sijawahi kudhani hilo....hata wale walioimba kwetu pazuri mbona naona kama nao wananesanesa vizuri tukumbe ni wasabato?..ndio maana watu wasabato wengi hawawakubali..kisa wanacheza wakiwa wanaimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wap wanacheza wakiwa wanaimba acha uongo...kumbe ni wasabato?..ndio maana watu wasabato wengi hawawakubali..kisa wanacheza wakiwa wanaimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaaa wanamtumzi mzuri kweliii“Nakutuma wimbo uende kwa yule” bonge moja la wimbo na ule wa wedding ule sweetie sweetie
Ngoma ina viwers kama mil 50/ hivi huko YouTube
Wimbo una vibe la hatari, unapigwa mpaka night club mkuu, unategemea nini???
Hii pc kali sanaNakutuma wimbo.
Nilikuwa naucheki hapa View attachment 2063803
We jamaa una macho makali saaaana.Hii pc kali sana
Heri na kwako pia..We jamaa una macho makali saaaana.
Heri ya mwaka mpya.
Heri na kwako pia..
Huyo mtoto ananikosha sana.
Anavidimpo flaan hv[emoji23][emoji23]