mambo_safi
Senior Member
- Jul 22, 2019
- 176
- 440
Sijua mimi wapi nafeli!Daaah! Inafikirisha sana ujue!😏
Sasa lini? Mbona miaka inakatika sioni maajabu?Yoshua 1:8.
8. Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.
Unafanya hivyo? Unafanya meditation ya neno maana neno hali danganyi.Sasa lini? Mbona miaka inakatika sioni maajabu?
Pia inaweza ikawa ni definition yako ya mafanikio.Sasa lini? Mbona miaka inakatika sioni maajabu?
Usione mtu ukadhani anafurahia maisha muda wote...haijalishi ana nini, lakini kila mtu ana usiku wa giza mkuu,Jamani watu wamezaliwa mambo safi wakalelewa mambosafi wakakulia mambo safi hadi wanakufa au mpaka wanakufa mambo_safi Donald Trump & Stephen Wasira.
Sasa mimi nakwama wapi?
Si definition yangu! Sitaku kuendelea kuishi maisha haya!Pia inaweza ikawa ni definition yako ya mafanikio.
Tupe uzoefu ulifanyaje?Usione mtu ukadhani anafurahia maisha muda wote...haijalishi ana nini, lakini kila mtu ana usiku wa giza mkuu,
Ila nimeagundua ukiona maisha yanaenda ovyo kabisa jua kuna mahali haukuwa sawa wewe na Mungu wako.
Hili nime prove kwangu, kuna hali napitia saivi nimegundua kuna code sikubonyeza nilidharau na nilijua sipo njia sahihi lkn baadae ikanigeukia..
Baada ya kujua hilo now naanza kuona mwanga kwa mbali na ninarecover.
Be specific unataka nini, mwambieSi definition yangu! Sitaku kuendelea kuishi maisha haya!
Una mwenza?Si definition yangu! Sitaku kuendelea kuishi maisha haya!