Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Biblia ndio kitabu kilichosheheni maarifa yote unakifahamu kitabu Cha rich dad poor dad basi ni kitabu ambacho mwandishi alipata maono kutoka katika biblia mafunzo yake yoteAcha uvivu, Fanya kazi, Tumia pesa kwa nidhamu, Jifunze kuwekeza mkuu!!
Mafanikio ni kuunganisha Codes tu, hayahitaji power from Source fulani.
Acha kujifunika na kujitetea kwa poroja za dini, Huyo Mungu angekua ana nia ya kuwainua wote muwe Matajiri asingeuumba Umasikini.
Kwanini kaumba umasikini wakati anataka wote muwe matajiri?
Imagine.. Hii ni kwa kesi moja tu, itakuwa vipi tukiyapata haya maarifa kwa kufunuliwa kwa namna mablimbaliBiblia ndio kitabu kilichosheheni maarifa yote unakifahamu kitabu Cha rich dad poor dad basi ni kitabu ambacho mwandishi alipata maono kutoka katika biblia mafunzo yake yote
YoteKwan ww unachangamoto ipi, kwenye lipi?
Ukisoma biblia yote utakuja kugundua hayo yote sio majibu hayo ni maulizo unahitaji kusoma sana hata mwezi mzima hiyo zaburi kwa kutafakari ndivyo ambavyo Roho Mtakatifu atakavyokushukia na kukupa majibuJamani watu wamezaliwa mambo safi wakalelewa mambosafi wakakulia mambo safi hadi wanakufa au mpaka wanakufa mambo_safi Donald Trump & Stephen Wasira.
Sasa mimi nakwama wapi?
Huu ni mtazamo wako na uelewa wako ni vizuri uheshimiwe..
lakini haimanishi upo sahihi
Mungu kila alichokifanya alilifanya katika ubora.. Tupo hapa tulipo kwasababu yetu wenyewe.
Bado akafanya njia ili tusiendelee kuwa katika hizo hali.
Kwa mara nyingine ni uamuzi wetu ndio utakao amua uwe mtu wa namna gani
Ukitaka uzima hauna budi kumkubali Yesu Kristo katika maisha yako, au kama ukiona ni porojo utapata ulichochagua
Kwanza Mimi siyo aina ya mtu wa kutishika kuadhibiwa na kitu kisichothibitishika uwepo wake kwa kuzungumza ukweli kukihusu.Huu ni mtazamo wako na uelewa wako ni vizuri uheshimiwe..
lakini haimanishi upo sahihi
Mungu kila alichokifanya alilifanya katika ubora.. Tupo hapa tulipo kwasababu yetu wenyewe.
Bado akafanya njia ili tusiendelee kuwa katika hizo hali.
Kwa mara nyingine ni uamuzi wetu ndio utakao amua uwe mtu wa namna gani
Ukitaka uzima hauna budi kumkubali Yesu Kristo katika maisha yako, au kama ukiona ni porojo utapata ulichochagua
Friend Mungu ameumba ulimwenguKwanza Mimi siyo aina ya mtu wa kutishika kuadhibiwa na kitu kisichothibitishika uwepo wake kwa kuzungumza ukweli kukihusu.
Eti kwamba nitapata matatizo kama nikimu-ignore huyo Yesu ambaye Infact ni Muongo.
Kama huyo yesu ataniadhibu sababu nina msema kwenye ukweli, Je yeye adhabu yake ya uongo ataadhibiwa na nani?
Maana alikufa Ijumaa saa9, Wakajihimu saa11 alfajiri yeye ameshafufuka - Hayupo.
Mimi siropoki ropoki just noncence BLAH! BLAH!, Mathayo 12:40 inasema:
"Kwa maana kama vile Yona alivyokuwa ndani ya tumbo la nyangumi muda wa siku tatu, mchana na usiku, vivyo hivyo Mwana wa Adamu atakuwa ndani ya tumbo la dunia siku tatu, mchana na usiku."
Kwa akili ya kawaida kutoka Ijumaa Saa9 jioni hadi jumapili saa11 asubuhi hizo ni siku3 mchana na usiku kama alivyodai?
Je, Yesu siyo Muongo?
Kama ni muongo ataadhibiwa na nani?
Tuache hilo sababu sio point tunayoijadili.
Swali kwako: Kama unaamini Mungu ndiye muumbaji lakini unakataa dai kwamba hajauumba umasikini duniani bali kaumba utajiri pekee, Je umasikini umetokea wapi? Nani kauumba umasikini?
Mwendelezo wa swali lako.Kwanza Mimi siyo aina ya mtu wa kutishika kuadhibiwa na kitu kisichothibitishika uwepo wake kwa kuzungumza ukweli kukihusu.
Eti kwamba nitapata matatizo kama nikimu-ignore huyo Yesu ambaye Infact ni Muongo.
Kama huyo yesu ataniadhibu sababu nina msema kwenye ukweli, Je yeye adhabu yake ya uongo ataadhibiwa na nani?
Maana alikufa Ijumaa saa9, Wakajihimu Jumapili saa11 alfajiri yeye ameshafufuka - Hayupo.
Mimi siropoki ropoki just noncence BLAH! BLAH!, Mathayo 12:40 inasema:
"Kwa maana kama vile Yona alivyokuwa ndani ya tumbo la nyangumi muda wa siku tatu, mchana na usiku, vivyo hivyo Mwana wa Adamu atakuwa ndani ya tumbo la dunia siku tatu, mchana na usiku."
Kwa akili ya kawaida kutoka Ijumaa Saa9 jioni hadi jumapili saa11 asubuhi hizo ni siku3 mchana na usiku kama alivyodai?
Hayo siyo masaa 38 au 39 hivi?
Je siku tatu mchana na usiku ni masaa 37, 38 au 39?
Je, Yesu siyo Muongo?
Kama ni muongo ataadhibiwa na nani?
Tuache hilo sababu sio point tunayoijadili.
Swali kwako: Kama unaamini Mungu ndiye muumbaji lakini unakataa dai kwamba hajauumba umasikini duniani bali kaumba utajiri pekee, Je umasikini umetokea wapi?
Nani kauumba umasikini?
Si kweli!!Biblia ndio kitabu kilichosheheni maarifa yote unakifahamu kitabu Cha rich dad poor dad basi ni kitabu ambacho mwandishi alipata maono kutoka katika biblia mafunzo yake yote
Hujajibu swali nililokuuliza mkuu.Friend Mungu ameumba ulimwengu
Na katika uumbaji wake wote hakuumba chochote kilicho chini ya ubora..
Dunia ina mambo mengi sana yanayojitosheleza kwa kila mtu kunufaika..
Tatizo lililopo ni ujinga na tamaa, watu wengi hawajui wapo duniani kufanya nini. Badala yake wanafanya kile wanachokiona kwa wengine.
Mimi sio mtetezi wa Yesu ila nina muamini na chochote nitakachokisema ni kwa kuwa nina kiishi. Ikifika wakati wako utaiona ukikubali fresh ukikataa fresh muhimu umesikia..
Chanzo ni binadamuHujajibu swali nililokuuliza mkuu.
Naomba niulize tena - Nani ni chanzo cha umasikini duniani?
Nahitaji jibu la moja kwa moja.
Anhaa Kumbe!!Chanzo ni binadamu.
Pole sana!Kwanza Mimi siyo aina ya mtu wa kutishika kuadhibiwa na kitu kisichothibitishika uwepo wake kwa kuzungumza ukweli kukihusu.
Eti kwamba nitapata matatizo kama nikimu-ignore huyo Yesu ambaye Infact ni Muongo.
Kama huyo yesu ataniadhibu sababu nina msema kwenye ukweli, Je yeye adhabu yake ya uongo ataadhibiwa na nani?
Maana alikufa Ijumaa saa9, Wakajihimu Jumapili saa11 alfajiri yeye ameshafufuka - Hayupo.
Mimi siropoki ropoki just noncence BLAH! BLAH!, Mathayo 12:40 inasema:
"Kwa maana kama vile Yona alivyokuwa ndani ya tumbo la nyangumi muda wa siku tatu, mchana na usiku, vivyo hivyo Mwana wa Adamu atakuwa ndani ya tumbo la dunia siku tatu, mchana na usiku."
Kwa akili ya kawaida kutoka Ijumaa Saa9 jioni hadi jumapili saa11 asubuhi hizo ni siku3 mchana na usiku kama alivyodai?
Hayo siyo masaa 38 au 39 hivi?
Je siku tatu mchana na usiku ni masaa 37, 38 au 39?
Je, Yesu siyo Muongo?
Kama ni muongo ataadhibiwa na nani?
Tuache hilo sababu sio point tunayoijadili.
Swali kwako: Kama unaamini Mungu ndiye muumbaji lakini unakataa dai kwamba hajauumba umasikini duniani bali kaumba utajiri pekee, Je umasikini umetokea wapi?
Nani kauumba umasikini?
Pole ya nini mkuu?Pole sana!
Si kweli!!
Umefanya False analogy Logical fallacy - Yaani umewianisha vitu viwili visivyoweza kwenda sambamba hata kidogo.
Biblia siyo kitabu bora kuliko Rich dad, Poor dad cha Robert T. Kiyosaki.
Mtazamo wa Kiyosaki umeegamia zaidi kwenye kutafuta pesa ili uwe na furaha;
"Money is the key to freedom and happiness. The more money you have, the more options you have."
Wakati mtizamo wa Mungu wa kwenye biblia umeegamia kwenye kumtukuza yeye kwanza kabla ya pesa halafu yeye ndiye ataamua kukupa utajiri automatically;
• Mathayo 6:33
"Bali tafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake, nanyi haya yote mtazidishiwa".
•Mathayo 19:23-24
"Yesu akawaambia, ‘Kwa kweli nawaambia, mrichi ni vigumu sana kuingia katika ufalme wa mbinguni. Tena nawaambia, ni rahisi punda kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.’"
Mungu anaziona pesa kama chanzo Cha uovu huku Robert Kiyosaki anaziona pesa kama chanzo cha furaha.
Hapa kuna mifano ya mitazamo ya Robert Kiyosaki katika Rich Dad Poor Dad inayopingana na mafundisho ya Biblia:
• Kutafuta Utajiri Badala ya Kumtafuta Mungu kwanza:
Kiyosaki anasisitiza kuwa pesa ni njia ya uhuru na furaha. Anasema mara nyingi kwamba mafanikio ya kifedha ni muhimu kwa maisha yenye kuridhika. Hata hivyo, Mathayo 6:24 inasema, "Hamwezi kumtumikia mabwana wawili... Hamwezi kumtumikia Mungu na mali." Hii inaonyesha kuwa kuweka pesa mbele ya mambo ya kiroho hakukubaliani na mafundisho ya Biblia.
• Matumizi ya Deni kwa Ajili ya Kujenga Utajiri:
Kiyosaki anapendekeza kutumia deni kama chombo cha kujenga utajiri, kama vile kutumia mikopo kununua mali. Hii inapingana na Methali 22:7, inayosema, "Maskini hutawala juu ya matajiri, na mwenye deni ni mtumishi wa mwenye deni." Biblia inaonyesha kuwa deni linaweza kuwa shingo nzito na ni hali ya utumwa.
• Pesa Kama Kipimo cha Mafanikio na Furaha:
Kiyosaki anasema kuwa utajiri ni ufunguo wa uhuru na mafanikio. Hata hivyo, Biblia inafundisha kwamba furaha halisi inapatikana kwa kumtumikia Mungu na kuishi kwa mapenzi yake, kama ilivyo katika Luka 12:15: "Jilindeni na uchoyo wa kila aina; kwa maana maisha ya mtu hayategemei utajiri wa mali alizonazo."
• Kumiliki assets nyingi na Kujikusanyia Utajiri:
Kiyosaki anashauri kuzingatia kujikusanyia mali na kuongeza utajiri. Hii inapingana na Mathayo 6:19-21, ambapo Yesu anasema, "Msijikusanyie hazina duniani, ambapo mende na nondo huliwa, na wizi huvunjia, bali jikusanyieni hazina mbinguni." Biblia inasisitiza kuzingatia mambo ya kiroho na malipo ya milele badala ya utajiri wa dunia.
• Kujitegemea Badala ya Kutegemea Mungu:
Kiyosaki anasisitiza umuhimu wa kujitegemea, kua na nidhamu binafsi na kuwa na uhuru wa kifedha. Methali 3:5-6 inafundisha kumtegemea Mungu, "Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usitegemee akili zako mwenyewe." Hii inaonyesha kuwa kujitegemea kifedha kunapaswa kuwa na usawa na kumtegemea Mungu.
Je, umewezaje kusema Robert Kiyosaki ameiba maarifa kwenye biblia ilihali mafundisho yake na biblia vinapingana?
Nimekisoma hadi mwisho.Hicho kitabu umekisoma? navyokuambia mwandishi aliyapata maono baada ya kusoma Neno la Mungu
Kuna mahali anamzungumzia baba tajiri alivyokuwa akibarikiwa sababu alikuwa akitoa sadaka makanisani na kwa wahitaji tofauti na baba msomi mithali 3:9
Mwandishi amefundisha kutafuta ujuzi na maarifa mithali 1
Mwandishi amefundisha kuamini kila kitu kinawezekana Yeremia 32:17
Mwandishi amefundisha kuwa na ujasiri na Imani waebrania 11:1
Mwandishi amefundisha ni Bora kufanya kuliko kutokufanya 2 wafalme 7
Mwandishi amefundisha kutafuta zaidi elimu mithali 4:13
Friend nimekuwekea hapo quotes za Biblia.. Bado unaweza kuchagua unachotaka kuona/kufikiriAnhaa Kumbe!!
Na Binadamu je, Chanzo chake ni nini?
Wewe huna neno na mimi ila mimi nina neno nawewe.Friend nimekuwekea hapo quotes za Biblia.. Bado unaweza kuchagua unachotaka kuona/kufikiri
Kichwa cha habari kinasema humuinua mnyonge.. Unadhani kwanini atengeneze umasikini kwa watu aliowaumba mwenyewe?
Ushawahi kutengeza bidhaa alafu ukataka iwe mbaya au iwe na madhara vivyo hivyo kwake..
Nimesema na nitarudi kusema alifanya kila kitu kuwa sawa akamkabidhi mwanadamu av isimamie, mwanadamu akavicorrupt kwa tamaa na ujinga.. Bado akafanya njia ya kurudisha umiliki kwa mwanadamu kupitia mwanae Yesu Kristo.. Uamuzi ni wa mtu akubali au akatae
Yeye sio masikini in what he is amefanya haya tunayoyaona anga ardhi, ndege na yote tuyaonayo kwanini akufanyie wewe uwe masikini wakati uwepo wako wewe unampa utukufu..
Baada ya hapa sina neno zaidi na wewe brother.
God bless you
Proverbs 19:3 GNTWewe huna neno na mimi ila mimi nina neno nawewe.
How God can bless me since he destroy me Himself?
Kwanini alimpa Shetani akili ya Uharibifu wakati yeye anapenda Duniani kuwe na Amani?
Kama ametupatia akili ya uharibifu unaochangia umasikini sio kwamba ndiyo kuumba Umasikini huko?
Mindset yako inanisikitisha sana 😭😭.Proverbs 19:3 GNT
[3] Some people ruin themselves by their own stupid actions and then blame the Lord.
Mithali 19:3.
3. Upumbavu wa mtu hupotosha njia yake;
Na moyo wake hununa juu ya BWANA.