Zacharia Hans Pope baada ya Yanga kuchukua Ubingwa wa VPL

Na vikombe vya kununua vya Yanga vipo humo humo. Sijui vingapi?????

Magoli ya Msuva nayo ni yakununua......!

Magoli yake yamemtia uchizi Huyo Hans Popo wenu.... hata akashauriwa na mke wake eti amsajili Msuva kwa milion 70/= wakati thamani yake ni milion 750/=.
 
Simba kama Ashanti,hawajui maana ya ligi,kwao msimu mzima mechi 2, then kila kitu kimeisha Mgambo sawa,Stand sawa,Kagera sawa, Mbeya sawa,saresare maua sawa,yaani kama timu ndogo vile za ndondo,ila kama unaongozwa Pop hushtuki, Unaitwa mbumbumbu unapiga makofi unategemea nini,ipo siku mtashuka daraja na hatutawabeba kama 1988 au ilivyokuwa 5_5 ,ya Tukuyu stars
 
Mbona Ktk Simba Uwekundu Wa Mafanikio UMETAWALA Lakini Upande Wa Yanga Uwekundu Wa Mafaniko Ni Wa Kuhesabu? Simba Oyeee!

Mafanikio ni kubeba kombe,haya sema hapa Simba kabeba mara ngapi na Yanga kabeba mara ngapi?
 
Kwa miaka 3 sasa nchi imekosa mwakilishi mwenye hadhi ya kufika fainali CAF. Tusubiri mpaka kidume wa Yanga atakapoamua. Makombe ya kununua tumeyachoka ndio maana wakikutana na Simba asiyenunulika wanachapwa tu.
 
Magoli ya Msuva nayo ni yakununua......!

Magoli yake yamemtia uchizi Huyo Hans Popo wenu.... hata akashauriwa na mke wake eti amsajili Msuva kwa milion 70/= wakati thamani yake ni milion 750/=.

Ndio, kama uliangalia mechi yenu na mbeya city au prison, utakubaliana ma msemo wangu kuwa kuna vikombe vya kununua ikiwemo msimu huu.
 
Kwa miaka 3 sasa nchi imekosa mwakilishi mwenye hadhi ya kufika fainali CAF. Tusubiri mpaka kidume wa Yanga atakapoamua. Makombe ya kununua tumeyachoka ndio maana wakikutana na Simba asiyenunulika wanachapwa tu.
Huu ndo ukweli, kama hawataki, wasubiri ya Tunisia kusikonunulika.
 
eti outdated Swahili............mweee,,....unawashwa kinyeo wewe

Bunge lao juzi lilijadili uwezekano wa kutafasiri katiba yao iwe kwenye Lugha ya Kiswahili.....!
1li wakenya wengi waweze kuelewa kilichopo kwenye katiba.. Leo hii huyu Nyang'au mweusi anakuambia kiko outdated....!
 
Kwa miaka 3 sasa nchi imekosa mwakilishi mwenye hadhi ya kufika fainali CAF. Tusubiri mpaka kidume wa Yanga atakapoamua. Makombe ya kununua tumeyachoka ndio maana wakikutana na Simba asiyenunulika wanachapwa tu.

Nasikia mnataka kumnunua Msuva... basi this time mtanunulika na nyinyi ili mpate fedha za kulipa MISHAHARA wachezaji wenu.
Na muongezee kwenye ile million 50 ili ifike Million 700 za kununua Msuva.
 
Huu ndo ukweli, kama hawataki, wasubiri ya Tunisia kusikonunulika.

Hamjaamua kuchukua ubingwa....?
Ebu sema tena nisikie vizuri....!

Mpaka sasa mmefukuza makocha zaid ya 5 ili mpate ubingwa.

Hata huyu naye nasikia hawaridhishi kabisa........!
 
Kwa miaka 3 sasa nchi imekosa mwakilishi mwenye hadhi ya kufika fainali CAF. Tusubiri mpaka kidume wa Yanga atakapoamua. Makombe ya kununua tumeyachoka ndio maana wakikutana na Simba asiyenunulika wanachapwa tu.

Simba alinunulika kwa mbeya city*2 kagera sugar stand,liboro nk
 
Simba alinunulika kwa mbeya city*2 kagera sugar stand,liboro nk

Hawawezi kununua mechi hao.... Timu yao simba inamadeni hadi ya mahotelini huko.

TAMBWE hawajamlipa.

Chanongo hawajamlipa.

Kessy nae hivyo hivyo.. Wamempiga mkwala mtoto wawatu ameshindwa hata kuendelea kudai chake.
 
Bunge lao juzi lilijadili uwezekano wa kutafasiri katiba yao iwe kwenye Lugha ya Kiswahili.....!
1li wakenaya wengi waweze kuelewa kilichopo kwenye katiba.. Leo hii huyu Nyang'au mweusi anakuambia kiko outdated....!

ha haaa hawa jamaa mabwege sana,kuvaa kwenyewe hawajui ...pumbavu zao
 
Nasikia mnataka kumnunua Msuva... basi this time mtanunulika na nyinyi ili mpate fedha za kulipa MISHAHARA wachezaji wenu.
Na muongezee kwenye ile million 50 ili ifike Million 700 za kununua Msuva.

Hayo maneno hata baba yako Manji aliyaongea tulipomchukua Okwi kama utakuwa hukuanza juzi ushabiki utaikumbuka kauli hiyo. Kiko wapi na kama haitoshi huyo huyo Okwi anazidi kuwatia maumivu kila siku mkipita karibu naye.
 
Hamjaamua kuchukua ubingwa....?
Ebu sema tena nisikie vizuri....!

Mpaka sasa mmefukuza makocha zaid ya 5 ili mpate ubingwa.

Hata huyu naye nasikia hawaridhishi kabisa........!
Maximo pamoja na mbwembwe zote alifukuzwa kwa sababu gani?
 
Maximo pamoja na mbwembwe zote alifukuzwa kwa sababu gani?

Kwa sababu timu haikuwa inapata matokeo mazuri kiwanjani......!

Likaletwa jembe ambalo limechukua ubingwa tayari.....!

Sio hao makocha wenu wa ndondo.... Mzungu akiwa na certificate basi mnampa timu afundishe..... wakati huko kwao hata timu ya mtaani ajapata nafasi ya kuifindisha......!

Mbumbumbu nyie.....!
 
Mleta mada sijakuelewa una maana gani na hii "Ltd Captain"
 
Hamjaamua kuchukua ubingwa....?
Ebu sema tena nisikie vizuri....!

Mpaka sasa mmefukuza makocha zaid ya 5 ili mpate ubingwa.

Hata huyu naye nasikia hawaridhishi kabisa........!

Acha kunilisha maneno ya kusema.
Unataka niseme usikie vizuri kitu gani?? nyie ndala wambea sana. Sijaongea hayo maneno unayosema kama vipi niquote!
 
Dah!! Mkuu umeongea vitu vya maana sana kuhusu hawa Mikia. Kwao mechi ni Yanga tu, baada ya hapo wanaona kombe washachukua. Kweli yule Msomali wa Tabora hakukosea kuwaita Mbumbumbu.
 
Acha kunilisha maneno ya kusema.
Unataka niseme usikie vizuri kitu gani?? nyie ndala wambea sana. Sijaongea hayo maneno unayosema kama vipi niquote!

Unamlalamikia nani sasa...?

Acha kuweweseka wewe tulia hapo hapo niendelee kukutia sindano za maumivu....!

Hebu linganisha idadi ya Makombe :

Yanga Fc 👉 Makombe 25.

Simba sc 👉 Makombe 17.
+ Okwi 1.
¯¯¯
18.
¯¯¯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…