Zacharia Isaay (Mbunge Mbulu): Serikali iache kigugumizi ieleze wazi kuhusu ugonjwa wa kupumua unaomaliza watu wa Mbulu

Mbunge Amefanya jambo jema kueleza hali halisi ila ajiandae kisaikolojia kupokea maelekezo ya kuagizwa kuomba umma radhi kwa kosa la upotoshaji
Sidhani, bali itakuwa ni triggering point ya wabunge wengine kuongea Kama familia zao zimeguswa. Now wanasikilizia upepo wa spika kuhusiana na alichokisema huyu mbunge wa Mbulu I guess.
 
Itaeleweka tu
 
CCM kama chama kongwe hapa Tanzania na Africa wakiamua nchi hii iende mbele wanaweza kuliko chama kingine chochote kile cha siasa nchini. Sababu kubwa ni kuwa wao ndo wanamiliki mtaji mkubwa wa wasomi, wataalam, wabobezi na hata wajinga wengi. Hii hali isiyotarajiwa ya wabunge kuanza kutema cheche za kiupinzani, inafurahisha lakin haijatokea kwa bahat mbaya.

Ni mkakat wa kuaminishana kuwa bila upinzani bado nchi inaweza kwenda mbele kwa ufanisi. Muhim nia. Sio watu au kundi flan. Sasa watapandishiana joto bungen kwa kuisema serkali, km msukuma, nape, mwijage ntare ya irungu. Itafikia point tutaaminishana kuwa vyama mbadala si muhim sana.

Hii ni hatua mbaya sana ya kuua aina ya demokrasia tunayohitaji. Kwakwel tungepata vyama walau vitatu vyenye nguvu sawa ya kisiasa nchini tuwe na sera za kitaifa fixed na sera za vyama. CCM is highly potential and loaded. Yet ..YOU CAN'T TEACH AN OLD DOG NEW TRICKS!
 
Serekali hii inajali vitu kuliko watu, hivyo haitaki kusikia habari za corona maana inajua itatakiwa kutoa pesa kununua vifaa tiba, jambo ambalo litaathiri ujenzi wa vitu.
mkuu we unataka serikali ifanye Nini?
 
Inunue vifaa tiba vya kutosha kila hospitali au kituo cha afya.
Mkuu HOFU ni kitu kibaya sana atakama wataweka vifaha vya kutosha Kila hospital aitoshi kuondoa Corona ni swala la mda tuu mtamwelewa jpm
 
Kuna jamaa nais atakua katumia chanjo anataka wenzie wawe chambo nao sio wavivu wa fika kwenye gar ni kujipulizia masantaizer.

Shughuli kwa wenzangu mimi awana ata muda.
 
Imedhihiri Bunge la chama kimoja ni moto kuliko la wale jamaa wa kususa susa.
 
Huyu mbunge akimaliza wiki 2 bado anapumua basi atakuwa ana bahati na akaoge maji ya Bahari tutasikia naye kafa either kwa ajali au Tatizo hill hill au kifo cha ghafla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…