Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani, bali itakuwa ni triggering point ya wabunge wengine kuongea Kama familia zao zimeguswa. Now wanasikilizia upepo wa spika kuhusiana na alichokisema huyu mbunge wa Mbulu I guess.Mbunge Amefanya jambo jema kueleza hali halisi ila ajiandae kisaikolojia kupokea maelekezo ya kuagizwa kuomba umma radhi kwa kosa la upotoshaji
Mbunge wa Mbulu anasema jimboi kwake amefriki watu wengi wenye waliokuwa na dalili za Corona kiasi kwamba kwa sasa amekuwa akipokea taarifa za misiba na kuzipotezea
Ameendelea kusema pia Serikali imeshauri watu kutumia dawa za miti shamba lakini watu wamkuwa wakinywa tu kama gongo sababu hakuna muongozo maalumu
Pia amesema ametembelea Hospitali ya BW Mkapa na kuambiwa mitungi yote ya Oksijeni imeisha na kutahadharisha kuwa watashindwa hata kuwalinda wataalamu wa afya na kumba Serikali kuongeza miungi hiyo.
Kama vile hawapo duniani ila wapo wa nachungulia uzi.MATAGA wamekimbia huku jukwaani
Ni watu wa ajabu sana hao MATAGAKama vile hawapo duniani ila wapo wa nachungulia uzi.
mkuu we unataka serikali ifanye Nini?Serekali hii inajali vitu kuliko watu, hivyo haitaki kusikia habari za corona maana inajua itatakiwa kutoa pesa kununua vifaa tiba, jambo ambalo litaathiri ujenzi wa vitu.
Ikikubali we itakusaidia Nini.Haijulikani Ni kwa nn serikali haitaki kukubali kwamba Kuna tatizo
Inunue vifaa tiba vya kutosha kila hospitali au kituo cha afya.mkuu we unataka serikali ifanye Nini?
Mkuu HOFU ni kitu kibaya sana atakama wataweka vifaha vya kutosha Kila hospital aitoshi kuondoa Corona ni swala la mda tuu mtamwelewa jpmInunue vifaa tiba vya kutosha kila hospitali au kituo cha afya.
He was a true Profet
Sijawahi kumuelewa mshirikina yoyote.Mkuu HOFU ni kitu kibaya sana atakama wataweka vifaha vya kutosha Kila hospital aitoshi kuondoa Corona ni swala la mda tuu mtamwelewa jpm
He was a true Profet